Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushukuru uliniandikia dawa hizi kwa ajili ya fangasi sugu, kwakweli nimetumia na nimemaliza na nimepona kwa neema ya Mwenyezi MUNGU. Ubarikiwe kwa kuwasaidia watu hapa. Ila mimi uliniambia hiyo terbinafine nichanganye na clotrimazole na nimefanya hivyo kwa mwezi mzima. Thank you very much Dr. SajjadHabari Mkuu,
Dawa ya fangasi inapatikana duka la dawa na ndiyo inatibu kabisa.
Cha muhimu nikuelewa kama fangasi wanapenda kuota kwenye nafasi yenye joto na unyevunyevu.
Hakikisha kwanza unaosha miguu yako Na sabuni alafu kuisuza Na maji Na baada hapo kuipangusa Na kukausha na kitambaa au taulo.
Alafu atumie dawa hii:
- Terbinafine Tablets, Kunywa kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi moja.
- Terbinafine Cream, Pakaa dawa hii Kutwa mara mbili asubuhi Na usiku.
Dokta nina tatzo la vipele chini ya macho yote mawili na nimezunguka hospitali nyingi sijapata uchunguzi na kuna hospitali nilienda dokta wa ngozi akaniambia ugonjwa wangu hauna dawa naomba msaada wako![]()
Dokta mzuri sana huyu........mimi sina ugonjwa wa kuombea ushauri ila naomba nitumie fursa hii kukupa baraka zangu kama raia kwakua unajitoa kutoa ushauri nasaha kwa raia wenzangu ambao masikini ya MUNGU wanataabika kupata ushauri sahihi wa kiafya huko uraiani kwa maana madaktari waliosomeshwa kwa kodi zao wanageuza taaluma hii ya udaktari kuwa ni biashara na kuwalipisha hata pasipo stahili. Endelea na moyo huu na nakuhakikishia ndugu daktari MUNGU huyu huyu wa mbingu na ardhi atakubariki wewe na uzao wako na ukoo wako wote mtabarikiwa na uttafunguliwa njia zaidi ya moja ya mafanikio yako. Ubarikowe sana ndugu daktari mzalendo, MUNGU ibariki AFRIKA, MUNGU ibarikiTANZANIA YETU, MUNGU mbariki daktari Sajjad Fazel mwenye upendo wa dhati na binadamu wenzake....ila MUNGU wafilisi C.C.M maana tumewachoka wakose hata hela ya kuhonga kwenye kampeni zao.
Asante sana Doctor kwa maelezo mazuri kuhusu dawa ya fangasi na nitalifanyia kazi mara moja.
dokta Nina tatizo YA kupata erection asubuhi lakini pia Kila nikitaka kuhave sex penis inasinyaa na ikierect in 3 minutes nakuwa nimemaliza and I can't go for another round...... Nina history mbaya YA masturbation. Nitumie Dawa gani ili nirudi Kuwa Sawa. Thanks in advance
Naomba kujua dawa sahihi ya bawaila yaani vivimbe kwenye sehem ya haja kubwa, vivimbe hivi kuna muda vinaongezeka na kusababisha kutaka kwenda uani Mara kwa Mara lakini bila kutoa haja kubwa
Maxence Melo & Cookie kuna umuhimu wa kuufanya huu uzi uwe sticky.