Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Habar Dr. Niliona ki uvimbe sehem ya haja kubwa nikamueleza rfk angu akaniambia niwe nachemsha maji nachanganya na detol ya maji nakanda asbuh mpka jioni kweli kile ki uvimbe kikaisha lkb sasa nina kama wiki mbili nime observe kama kuna uchafu wa maji unatoka sehem ya haja kubwa kwa mbali sana na ham ya tendo la ndoa imepungua je ni nn? Na tiba yake ni nn?
 
Habar Dr. Niliona ki uvimbe sehem ya haja kubwa nikamueleza rfk angu akaniambia niwe nachemsha maji nachanganya na detol ya maji nakanda asbuh mpka jioni kweli kile ki uvimbe kikaisha lkb sasa nina kama wiki mbili nime observe kama kuna uchafu wa maji unatoka sehem ya haja kubwa kwa mbali sana na ham ya tendo la ndoa imepungua je ni nn? Na tiba yake ni nn?
Hivi viuvimbe huwatokea sana wajawazito , na huwa vinaishia vyenyewe. Ndivyo nufahamuvyo bt Dr please msaada wako.
 
DR nmi nina tatizo la nyonga zote ila zaid upande wakushoto nimesumbuliwa na tatizo tango mwaka 2011,
tatizo lilianza mara baada ya kupewa dawa aina ya doxaxlyne kutokana na tatizo la maumivu makali ya tumbo pindi niwapo period,
dawa niliambiwa nimeze 2x2 kwa cku nilipofika cku kama ya tatu hiv nyonga ya kushoto iliuma sana hadi nikawa cwezi kujigeuza kitandani wala kutembea bila msaaadaaa
nikaacha dawa zile nikaanza kutafta tiba ya nyonga ...
nimetumia dawa nyingiii na tofauti za hosptl na kienyeji napata nafuu ya muda mfupi tu then tatizo linarud

mwaka jana mwishoni tatizo lilianza tena maumivu yakawa makali kama ya mwazn ikabd niende tena kwa dr wa mifupa. nikapigwa x-rays na kuambiwa nina shida kwenye uti wa mgongo yaan upo very straight badala ya kubend na shingo vlevle imenyooka niliana matibabu kwa kutumia dawa kadhaa kama vile; pligabline,neurobin, flux... n.k 9samahan kwa kuandika dawa kimakosa c unajua fan za watu) na mazoezi juu, dawa nilianza kutumia tarh 4/1/2017 mpaka 3/2/2017 maana nyingi ni za cku 30.

ila baada ya hapo tatizo kama bado linajirudia maana kuna muda nahic maumivu makali
msaaada wako dr plz nifanyeje au nitumie dawwa gani ili nipone kabisaa? na je naweza kupata mtoto(kushka ujauzito) kwa tatizo nililonalo
NASUBIR MSAADA WAKO DR JUU YA HII POST
 
Dr, mimi huwa natatizo moja ni la muda sasa tangu utoto, huwa kila kuumwa kwangu homa lazima nitokwe na madoda mdomon, naanza kwanza kwa kutokea muwasho, kwa kiuvipele kwa mbal mwili mzima vinawasha baada ya cku mbili vinatokea viupele sehemu za sili (me) baada ya kupona hapo madonda sasa yanatokea mdomoni, hapo kuanzia viupele sehem za sir nakuwa kama vle naumwa homa mpaka hatua ya mdomon ni kama homa imezid sasa, na sasa nina miaka 30, sijui tatizo n nn shatumia dawa si miti shamba si za kitaalam, so pls naomba msaada wako, make sasa ishakuwa kama kero upande wa vidoda mpka watu wanahis mimi nina HIV ambapo sina, msaada Pls, nitashujuru sana
 
Kuna jamaa yangu ameniadithia tatizo lake nikasema ngoja niulize.Inawezekana vp mtu kuwa mzima wa afya gafla amepata msichana amelala nae usiku kucha jogoo hasimami baadae akatafuta meingine jogoo akasimama kama kawaida kulikoni hapa dkt
Usifiche maradhi ndugu wewe sema tu jogoo wako hapandi mtungi sio kumtaja mtu mwingine hapa eti nina jamaa yangu. Huyo jamaa yako ndio kakuambia umtolee siri humu ? Au kila anapotoka faragha anakuja kukusimulia kuwa hajafanikiwa ? Tuww wawazi jamani dr yupo humu kwaajiri yenu so weka mambo mubashara ili aweze kukusaidia ila ukifichaficha mambo huwezi pata majibu sahihi.
 
Swari langu kwako doctor.mwanamke akiyekamili ufahamu mimba uingiA VP lkn demu wangu yapat mwaka wapili saasa hakuna hats dalili. Lkn mzunguko wke anaupat km kawaida.tatizo nn?
 
Mimi daktar nasumbuliwa na vidonda kwenye ulimi,yaani ulimi umechanika vibaya.lakini s ni miaka saba sasa nimetumia dawa za kuongeza vitamini na kuua fangasi tatizo likikaribia kuisha linarudi tena.kuna AMO mmoja akaniambia huenda nna leukemia.sasa niogopa naomba msaada wako.
 
Wife anasumbuliwa sana na kichwa kipandauso wanasema nn dawa hasa.. Msaada
 
Nduguyangu koradani yake moja kubwa hili ni tatizo gani lilimkuta tatizo ilo tokea akiwa na miaka12 mpaka sasa 22 lakini asikii maumivu wala dosari yeyote ni ugonjwa au ni hari ya kawaida ?
 
Dr. Zajja: please! Hapa sijaelewa kuhusu fangac ya ndani ktk mdomo ,akipaka ktk ulimi au ktk fizi, kuna muda wa kula vyakula au kunywa pia hapo imekavipi?? .
 
habari, kuna tatizo la kusikia mlio kama kitu kinasagika wakati wa kukunja mguu yaani mlio utokea kwenye goti. Cha kushangaza zaidi ni kwamba hata maumivu huyasikii, wasiwasi wangu ni kwamba sijajua mbeleni inaweza kuwa na matatizo gani. hili jambo nimeanza kuliona tokea 2004. Naomba ushauri na tiba yake.

wasalaam
 
Dr nna tatizo la kikohozi mara nyingi ni kikavu lkn muda mwingine kinaambatana n'a mafua , makohozi na kichwa kuuma nina miezi mitano Sasa hakiponi nimemeza anitbiotic na sindano za antibiotic lkn hakuna ,nmekunywa vidonge vya minyoo lkn hakuna kitu hv karibuni nimepiga chest xray hakuna tb wala chochote juzi nimepewa hospitalini vidonge vya Pantoprazole n'a desloratadine lkn haijanisaidia naomba msaada wako Dr. kwan kinantesa hk kikohozi
 
Dr. Nimepimwa nikapatikana na vidonda vya tumbo. Just last week. Nimepewa H-pyroly kit dawa za siku saba. Nilipochunguza dawa iliyomo nikagundua ni dawa za kawaida ambazo tunazinywa kila siku. Yaan kidonge kimoja ni erythromisyne ingine ni tinidazole na ingine ni omaplazole. Ninachoomba kueleweshwa hizi dawa zinatibu vidonda vya tumbo kweli. Na kama ndio dosage nilopewa ni sahihi na nitapona? Tafadhali kama utaweza kunijibu private nitashukuru. My whatsap number is 0782183441
 
Lakwanza mkuu, Bakteria wa H.Pylori wanakuwa tumboni na siyo kwenye damu. Unaweza kupima damu kujua kwamba wapo tumboni lakini hawakui ndani ya damu. Mbali na test hiyo, je unadalili yeyote?
Samahani dr. Kwanza mm sio dr. Ila kutoka moyoni naipenda sana taaluma hii na hijifunza sana kupitia utube na kwingineko. Kwa kuingia kwenye jibu lako. H pylori anaishi tumboni yes. Ila najua wanapima damu ili kuangalia antigen kwenye dam. So antigen ikishatengenezwa kwa ajili ya kuua bacteria wa h pylori ukinywa dawa bacteria wakafa, antigen nayo hupotea ama ukipima kwa dam utaendelea kuwepo maana ikishatengenezwa itaendelea kuwepo maisha yote ya binadamu
 
doctor mdogo wangu kila asubuhi akiamka ..husumbiliwa na kuvimba kwenye taya chini ya shikio but sio mkubwa mdogo tu pande zote mbili kulia na kuchoto..lakini hauna maumivu ..lakini baada za harakati zake mchana mchana kutwa ule uvimbe huwa unapotea..au unabaki upande mmoja.sasa doctor unahisi ana tatizo gani?
 
Mi dr tatixo langu ni kuwa nnampochapa mwanamke na bakora yang nikitupia bao la kwanza
Round ya pili huwa naicheza dk zote bila kutupia goli mpaka inafika kipindi naamua kukatisha game maana messi anakuwa bado imara ila timu pinzani inakua imetepeta kabisa
Tatizo ni nini
Am serious not a joke
 
Daktari msaada wako,
Nina ndugu yangu wa kike 17 years, tatizo kubwa alionalo ni kuumwa na kichwa,
Kichwa chake kama kinakua kinakufa gani upande mmoja,kinamuuma sana.
Dawa aliozoea kutumia ili kutuliza maumivu ni hedex na imepungua utendaji kazi nahisi kwa kutumia kila siku.
Msaada mkuu.
 
Back
Top Bottom