Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Wakuu umri ni 28
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo baadhi ya dalili ziliendelea

-maumivu ya misuli hasa mgongo, shingo na mabega hadi kiunoni pia Misuli na pingili za mgongo kukaza (hadi nifanye yoga nakuwa sawa kidogo)

-Uchovu wa mwili na akili

-uwezo mdogo wa kufikiri

-Kukosa hamu Ya sex ,Nikisex, uume kukosa nguvu na kutodumu ktk tendo kwani nakua sina hisia tena hadi nikae masaa matano

Note:nimewahi beba vyuma ila sikua baunsa, pia nimewahi jichua kwa miaka 10 mfululizo ila sasa ni mwaka mmoja na nusu toka niache

Sijui Pa kuanzia Wakuu nateseka sana, hasa haya maumivu ya misuli ya mwili! Msaada wa mawazo madokta samahani kwa kuwachosha
 
Hongera mkuu kwa majukumu ya mchana kutwa na pole kwa kazi. Swali langu ni kwamba kuna mkubwa wangu huwa anasumbuliwa na tatizo la kujisaidia haja kibwa sambamba na damu tatizo laweza kuwa nini na huwa wala hajisikii mumivi yoyote na nini tiba yake?
 
Mwanangu wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja huwa analia usiku hasa kipindi cha baridi na wanasema ni ngiri na ukimwangalia pumbu zake huwa zinapotea
 
Habar Dr. Niliona ki uvimbe sehem ya haja kubwa nikamueleza rfk angu akaniambia niwe nachemsha maji nachanganya na detol ya maji nakanda asbuh mpka jioni kweli kile ki uvimbe kikaisha lkb sasa nina kama wiki mbili nime observe kama kuna uchafu wa maji unatoka sehem ya haja kubwa kwa mbali sana na ham ya tendo la ndoa imepungua je ni nn? Na tiba yake ni nn?

Ni vizuri ufike kituo cha afya na umuone daktari bingwa wa upasuaji.
 
Mwanangu wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja huwa analia usiku hasa kipindi cha baridi na wanasema ni ngiri na ukimwangalia pumbu zake huwa zinapotea

Tafahali fika kwenye kituo cha Afya na ukamuone daktari bingwa wa upasuaji. Wao wanaangalia na kutibu tatizo ya ngiri. Hakikisha unamchukuwa mtoto.
 
Samahani dokta,nasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu upande wa kushoto.je ni dalili ya ugonjwa gani?

Kwa baadhi ya watu inatokea kama hawajakunywa maji vizuri, kwa wengine ni tatizo ya figo. Kunywa maji ya kutosha kila siku alafu angalia inakuaje. Kama bado inaendelea ni vizuri ufanye kipimo cha Ultrasound.
 
Hongera mkuu kwa majukumu ya mchana kutwa na pole kwa kazi. Swali langu ni kwamba kuna mkubwa wangu huwa anasumbuliwa na tatizo la kujisaidia haja kibwa sambamba na damu tatizo laweza kuwa nini na huwa wala hajisikii mumivi yoyote na nini tiba yake?

Kwaajili ya tatizo ya kupata haja kubwa, ni vizuri akule mboga za majani na matunda mengi.
Kama anapata damu au maumivu kwenye sehemu ya haja kubwa anaweza kutumia dawa hii:
Anusol ointment, anaweza kuipakaa kwenye sehemu ya haja kubwa kila siku kwa muda wa siku 7.
 
Wakuu umri ni 28
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo baadhi ya dalili ziliendelea

-maumivu ya misuli hasa mgongo, shingo na mabega hadi kiunoni pia Misuli na pingili za mgongo kukaza (hadi nifanye yoga nakuwa sawa kidogo)

-Uchovu wa mwili na akili

-uwezo mdogo wa kufikiri

-Kukosa hamu Ya sex ,Nikisex, uume kukosa nguvu na kutodumu ktk tendo kwani nakua sina hisia tena hadi nikae masaa matano

Note:nimewahi beba vyuma ila sikua baunsa, pia nimewahi jichua kwa miaka 10 mfululizo ila sasa ni mwaka mmoja na nusu toka niache

Sijui Pa kuanzia Wakuu nateseka sana, hasa haya maumivu ya misuli ya mwili! Msaada wa mawazo madokta samahani kwa kuwachosha

Mkuu, una dalili nyingi sana na vizuri ukafanye check-up hospitalini.
Sitapenda kukuandikia dawa za hizo tatizo mbali mbali, Ni vizuri kufanya check-up (vipimo) kujuwa tatizo linaanzia wapi.
Kwaajili ya maumivu ya misuli unaweza kutumia dawa hii ya maumivu mpaka pale ambapo utakapokwenda hospitalini:
Flammar-Mx, kidonge kimoja kila siku usiku baada ya chakula cha usiku.

Vile vile zingatia; Ulaji bora, mazoezi, yoga, kulala vizuri, punguza msongo wa mawazo.
 
Dk uume unawasha Afu naoma majimaji kama usaa kwa mbali
 
Mkuu, una dalili nyingi sana na vizuri ukafanye check-up hospitalini.
Sitapenda kukuandikia dawa za hizo tatizo mbali mbali, Ni vizuri kufanya check-up (vipimo) kujuwa tatizo linaanzia wapi.
Kwaajili ya maumivu ya misuli unaweza kutumia dawa hii ya maumivu mpaka pale ambapo utakapokwenda hospitalini:
Flammar-Mx, kidonge kimoja kila siku usiku baada ya chakula cha usiku.

Vile vile zingatia; Ulaji bora, mazoezi, yoga, kulala vizuri, punguza msongo wa mawazo.
ushauri mzuri je afanye kipimo gani
 
Napenda kuuliza hiv kila siku asubuh ikifika mida ya saa 11 alfajili tumbo huwa linaniuma sana na sijajua tatzo ni nn?
Ila nikienda kukojoa tumbo naona linauafadhali kidogo cjajua tatzo ni nn
 
Salaam.
Mke wangu anasumbuliwa saana na maumivu ya tumbo .amefanya vipimo Mara nyingi na kuelezwa kuwa ni UTI mwisho aliambiwa ni UTI iliyozalisha Bacteria.
Katumia dawa bila mafanikio.alienda Ocean road kachukuliwa vipimo kaonekana kuwa ana vidonda kwenye mji wa uzazi. Kapewa dawa za kutumia kwa muda wa wiki mbili .
Sasa baada ya kumaliza dozi hiyo sasa analalamika juu ya maumivu ya tumbo naomba msaada zaidi wapi? Nielekee kwa matibabu zaidi.
 
Toka jana mkono wangu wa kushoto u atetemeka vidole viwili na kuna wakati unakufa ganzi na kujisikia kama mtu mwenye jeraha la moto je hiyo tatizo gani?
 
Habari Dr. Mimi umri miaka 42. Nasumbuliwa na goti la mguu wa kulia. Linakaza saana, siwezi kuchuchumaa wala kukimbia, nikilinyoosha linatoa mlio wa koo. Asante.
 
Dr pole Na kazi.wife alijifungua kwa njia ya upasuaji mkubwa,ila baada ya miezi 7 likatokea tatizo la miguu kufa ganzi.tulipoludi kwa dr aliyemfanyia upasuaji muhimbili alimuandikia dozi ya nyurobiani na nyurotoni(samahani ila naamini umenielewa hapo kwenye hizo dawa asante) lakini baada yakutumia hizi dawa kwa muda wote aliopangiwa alipata nafuu na kuendelea na kazi zake kama kawaida lakini kwa sasa hili tatizo limerudi tena.TAFADHARI DR MSAADA WAKO.NAMUONEA HURUMA SANA WIFE.
 
Back
Top Bottom