Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Wakuu umri ni 28
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo baadhi ya dalili ziliendelea
-maumivu ya misuli hasa mgongo, shingo na mabega hadi kiunoni pia Misuli na pingili za mgongo kukaza (hadi nifanye yoga nakuwa sawa kidogo)
-Uchovu wa mwili na akili
-uwezo mdogo wa kufikiri
-Kukosa hamu Ya sex ,Nikisex, uume kukosa nguvu na kutodumu ktk tendo kwani nakua sina hisia tena hadi nikae masaa matano
Note:nimewahi beba vyuma ila sikua baunsa, pia nimewahi jichua kwa miaka 10 mfululizo ila sasa ni mwaka mmoja na nusu toka niache
Sijui Pa kuanzia Wakuu nateseka sana, hasa haya maumivu ya misuli ya mwili! Msaada wa mawazo madokta samahani kwa kuwachosha