Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dr naomba msaada mtoto wa miezi tisa kukataa kunyonya na uji pia anakataa amelekwa hospitali amefanyiwa vipimo hana tatizo lolote.
 

Huku ukimsubiri dokta akujibu naomba mwende wote hospitali mkapime fungus na U.t.I
 
docter mm nasmbuliwa na h.phylor nlpm dam nikaambiw ninao walnpt helgokot lkn haiknsaidia na tomb lnwk moto na ges infk had kifuan nifanyeje docter
 
Habarini za kazi,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale, yaani napata shida sana.

Naomba msaada wenu jamani.
 
Dr. mwanangu ana miezi 3 mvua ikitanda Kama inataka nyesha au ikinyesha tumbo linaunguruma afu analia Sana afu tumbo linakua linaunguruma nn tatzo
 
Doctor..
Tatizo la kuwa na acid nyingi ukeni ,inaua sperms na kusababisha mwanamke kuto pata mimba.
 
Ninasumbukiwa na ugonjwa was ngozi kwa jina ..PITYRIASIS RUBRA POLARISED.
Je unaufahamu ugonjwa huu?
Nini tiba yake?
 
Kichwa cha uume kinawasha na mda mwingine kinakuwa na maumivu halafu mkojo wa Mara kwa Mara cjui tatizo nn?.
 
Dr naomba kupata ushauri kuhusu fungus zinanisumbua sana,fungus zipo maeneo ya kwenye makende,nimetumia dawa za hospital nyingi sana na za tube lkn sijaona tofauti
 
Dr. Mimi mgongo wangu huwa unaniuma kama nikikaa sehemu kwa muda bila kukaa sehemu ya kujiegemeza, pia kama nafua nisipotumia kiti Basi mgongo unakuwa na maumivu, au nikiinama kwa muda mrefu.

Maumivu sio makali sana ila sifurahii hii hali

Jinsia ni ME na umri ni 28

Shukrani.....
 
Ni dawa gani naweza kutumia kusaidia kuongeza damu mwilin
 
Miguu kufaa ganzi mikono na shingo mini tatizo na tiba take nimetumia neural support vidonge na sindano za vitamin I b complex lakini wapi
.
 
docter mm nasmbuliwa na h.phylor nlpm dam nikaambiw ninao walnpt helgokot lkn haiknsaidia na tomb lnwk moto na ges infk had kifuan nifanyeje docter
VP kuhusu kutokula baadhi ya vyakula ulielezwa?
 
Hujaeleza tatizo bado!!
 
Dr. mwanangu ana miezi 3 mvua ikitanda Kama inataka nyesha au ikinyesha tumbo linaunguruma afu analia Sana afu tumbo linakua linaunguruma nn tatzo
Zaid ya maziwa ya mama kuna chakula kingine unachompatia?

Vp akiwa Analia,je tumbo linavimba au kuwa gumu ?

Kuhusu choo VP, anapata vizur? kula je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…