Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Mkuu mimi pia nasubiri ujibiwe coz hatamimi nina tatizo kama lakoHallow Doctor
Nilianguka na pikipiki tar 9/4/2018 asubuhi nikielekea kazini na kuumia GOTI vibaya sehemu ya joint ambapo hakuna michubuko kwa nje ila napata maumivu makali kwa ndani.
Baada ya kufika hospital nilifanyiwa x-ray siku hiyo hiyo muda wa saa nane na nusu ambapo majibu yalionyesha kuwa hakuna tatizo lolote kwenye mifupa (joint)
Nilipewa dawa ya kupaka (fastum jell) na vidonge vya maumivu (diclofenac) pamoja na kufungwa clip bandage .Docta wiki hii ni ya tatu naendelea nayo lakini bado napata maumivu makali. Hospital wanasema eti ni maumivu ya misuli ila nayahisi kama sehemu ya mfupa pia niliyogongesha inauma sana na usiku silali hata niandikapo uzi huu ni saa saba usiku.!!!
Je unanishauri nini kuhusu hili goti afadhali hata mchana ila usiku maumivu yanazidi sana. Nategemea majibu yakunisaidia, Ahsante sana.
njoo pmDawa unayoiamini kuwa inatibu kabisa vidonda vya tumbo tafadhari.. hasa home made(mbadala) au yakisasa
Hey vp uliitumia Retin AAsante...
Lakini hiyo Retin A ni lotion kama zilivyo lotion zingine i.e Nivea,Cocoa au ina tofauti?
maanake kma ni lotion nilishaga zitumia sana lakin hakuna impact