Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
-
- #1,261
Yaonyesha utakuwa na infection, maambukizi ya bakteria kwenye sikio. Ningependa kukushauri kumuona daktari hospitalini atakupa dawa ya antibiotic kuua bakteria.Sikio langu linauma Sana na mda mwingine hutoa usaha tatizo lake nn na ni ipi tiba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nilipima na kuambiwa Nina vidonda vya tumboVidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.
Je uliambiwa nini na daktari?
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake....
Mkuu akijibu ni tagHello Dokta.
Ni Ipi Dawa Ya Bawasiri Bila Operation?
@Dr. RweyemamuHello Dokta.
Ni Ipi Dawa Ya Bawasiri Bila Operation?
Dr upo?Yaonyesha utakuwa na infection, maambukizi ya bakteria kwenye sikio. Ningependa kukushauri kumuona daktari hospitalini atakupa dawa ya antibiotic kuua bakteria.