Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
- #1,261
Ijue ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona
Watu wengi wanasambaza taarifa za uwongo juu ya Corona kwenye mitandao. Kama daktari na mtafiti wa afya niliyazungumzia baadhi ya hizo taarifa hapa.
Ukiwa na maswali zaidi kuhusu ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona, unaweza kuuliza kwenye uzi huu na nitakujibu (Tafadhali hakikisha sijajibu swali yako kwenye video zifuatazo). Chukua harakati za kujikinga dhidi ya ugonjwa huu kwa kufuata maelekezo ya Wizara ya Afya. Asante. Mungu atulinde sote.