Sijaelewa kukabwa??? Au unasikia Koo linakereketa??dokta habari za kazi
samahani naomba kuuliza dawa inayoweza kuondoa au kutibu tatizo la kuhisi kukabwa au kukwamwa na kitu kooni mfano wa nyama hivi sa hivi ni kama wiki mzima hivi hii hali aiondoki
Gonorrhea ni Ugonjwa wa ngono ambapo chanzo chake ni Bacteria anaeitwa Neisseria Gonnorhea.. Bacteria hawa hukaa sehemu za siri na huambukizwa kwa njia ya ngonoo.Hivi gonorhea kipi n chanzo Cha huu ugonjwa wengi tunajua unasambaa kwa njia ya ngono lakini kipi Ni chanzo Cha huu ugonjwa mfano malaria n kung'atwa na mbu Sasa hili la gonorhea wataalamu wa afya naomba kujua chanzo tafadhali
Je alishawahi Kujifungua kwa Operation??? Anafanya kazi gani hasa?? Je alishawahi tumia njia za uzazi wa mpango mwisho kabisa ana Umri gani???Habari yako doctor...
Mke wangu anasumbuliwa sana na maumivu katika mgono.
Tiba yake ni ipi doctor.
Mzazi anenyonyesha Uwezekano wa kupata Mimba ni mdogo japo Inawezekana vizuri tu.. Jibu sahihi apime mimba bhasi kipimo kinauzwa 1000 tu!!Hivi inakuaje mzazi anaenyonyesha hajaona m.p(hedhi) akifanya tendo la ndoa uwezekano wa ujauzito upo?
Miez mitatu Sasa hajaona chochote kwenye mzunguko wake wa hedhi.
Tafadhali naomba msaada,
Hiyo ni Fungus tafuta TERBINAFINE cream unywe ba Fluconazole tabs..Nawashwa korodan na uume sana nitumie dawa gan ya asili ,I mean mimea mana nikipaka dawa inapona AF inaanza tena
yaani kuna kitu kinakaa kooni yaani inakuwa kama vile umemeza kitu kikakwama kwenye koo pia kinaleta maumivi flan shingoniSijaelewa kukabwa??? Au unasikia Koo linakereketa??
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Pole sana, jaribu kuwapigia Fukang Health care hawa ni wachina wapo kindondoni nyuma ya jengo la Abbas Tarimba vipimo vyo ni vizuri computerised 0685467044 na 0787576740, dawa wanazotoa ni za kichina pia. Pole sana ndg!!Jaman wakuu mi nasumbuliwa na kuwashwa yan ngoz inawasha sana...nkikuna inavimba...nmeenda hospital nyingi hakuna cha maana wanachoniambia...nmetumia miti shamba bado hakuna mabadiliko...msaada tutani wakuu..miez minne sasa ata kaz nmeacha [emoji25][emoji25]View attachment 1740426
do no dawa gani inayotibu kifua cha pumu ?um I 49Ndiyo, Niambie umri wa mtu anayohitaji matibabu ya pumu.
Pole sana! Inaweza kuwa allergy kuna kitu unakula usikute kwako kinakuwa sumu. Ungejaribu kuwaona specialist. Kuna rafiki angu mmoja naye alikuwa na tatizo hilo la kila siku anawashwa alihangaika sana hospitali wanampa dawa lakn hakuna nafuu. Baadae ikaja kugundulika ana allergy na mahindi. Toka hapo hajawai kula ugali wala kitu chochote kinachopikwa na mahindi. Na siku akiwa na hamu ya kula ugali basi dawa zake zinakuwa pembeniJaman wakuu mi nasumbuliwa na kuwashwa yan ngoz inawasha sana...nkikuna inavimba...nmeenda hospital nyingi hakuna cha maana wanachoniambia...nmetumia miti shamba bado hakuna mabadiliko...msaada tutani wakuu..miez minne sasa ata kaz nmeacha [emoji25][emoji25]View attachment 1740426
Hivi Dr sometimes najisikia kama nawashwa tumboni kwa ndani,itakuwa ni nini?
Nilishapona.Japo mimi sio daktari nakushauri ukamuone Daktari hii sio dalili nzuri
Nilishapona.