Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Hivi gonorhea kipi n chanzo Cha huu ugonjwa wengi tunajua unasambaa kwa njia ya ngono lakini kipi Ni chanzo Cha huu ugonjwa mfano malaria n kung'atwa na mbu Sasa hili la gonorhea wataalamu wa afya naomba kujua chanzo tafadhali
Gonorrhea ni Ugonjwa wa ngono ambapo chanzo chake ni Bacteria anaeitwa Neisseria Gonnorhea.. Bacteria hawa hukaa sehemu za siri na huambukizwa kwa njia ya ngonoo.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Habari yako doctor...
Mke wangu anasumbuliwa sana na maumivu katika mgono.
Tiba yake ni ipi doctor.
Je alishawahi Kujifungua kwa Operation??? Anafanya kazi gani hasa?? Je alishawahi tumia njia za uzazi wa mpango mwisho kabisa ana Umri gani???

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Hivi inakuaje mzazi anaenyonyesha hajaona m.p(hedhi) akifanya tendo la ndoa uwezekano wa ujauzito upo?
Miez mitatu Sasa hajaona chochote kwenye mzunguko wake wa hedhi.
Tafadhali naomba msaada,
Mzazi anenyonyesha Uwezekano wa kupata Mimba ni mdogo japo Inawezekana vizuri tu.. Jibu sahihi apime mimba bhasi kipimo kinauzwa 1000 tu!!

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Doctor nahisi maumivu upande wa Chini karibu na mbavu kushoto hasa nikihema kwa nguvu unaweza Kuwa ni tatizo gani au labda nitumie dawa gani
 
kwa nini ukilala halafu ukaamka unasikia kizunguzungu?yaani ukijilaza halafu unaamka unasikia kama kichwa kinazunguka
 
Jaman wakuu mi nasumbuliwa na kuwashwa yan ngoz inawasha sana...nkikuna inavimba...nmeenda hospital nyingi hakuna cha maana wanachoniambia...nmetumia miti shamba bado hakuna mabadiliko...msaada tutani wakuu..miez minne sasa ata kaz nmeacha 😪😪
IMG_20210331_175010_1.jpg
 
Jaman wakuu mi nasumbuliwa na kuwashwa yan ngoz inawasha sana...nkikuna inavimba...nmeenda hospital nyingi hakuna cha maana wanachoniambia...nmetumia miti shamba bado hakuna mabadiliko...msaada tutani wakuu..miez minne sasa ata kaz nmeacha [emoji25][emoji25]View attachment 1740426
Pole sana, jaribu kuwapigia Fukang Health care hawa ni wachina wapo kindondoni nyuma ya jengo la Abbas Tarimba vipimo vyo ni vizuri computerised 0685467044 na 0787576740, dawa wanazotoa ni za kichina pia. Pole sana ndg!!
 
Habari wakuu!
Nna tatizo la kutokwa na majasho mengi mikononi na miguuni. Hii shida imeanz tangu mtoto na saiv nna miaka 20. Inakera sana yan, huwa haichagui hali ya hewa iwe barid au joto yakiamua kutoka yanatoka tu. Sometimes umetoka kuoga after 10min unaon majash yameanz.

Msaada wenu Tafadhalii!!!!
 
Nasumbuliwa na kende moja kuvimba saizi ya yai la kuku,haliumi,naomba ushauri
 
Jaman wakuu mi nasumbuliwa na kuwashwa yan ngoz inawasha sana...nkikuna inavimba...nmeenda hospital nyingi hakuna cha maana wanachoniambia...nmetumia miti shamba bado hakuna mabadiliko...msaada tutani wakuu..miez minne sasa ata kaz nmeacha [emoji25][emoji25]View attachment 1740426
Pole sana! Inaweza kuwa allergy kuna kitu unakula usikute kwako kinakuwa sumu. Ungejaribu kuwaona specialist. Kuna rafiki angu mmoja naye alikuwa na tatizo hilo la kila siku anawashwa alihangaika sana hospitali wanampa dawa lakn hakuna nafuu. Baadae ikaja kugundulika ana allergy na mahindi. Toka hapo hajawai kula ugali wala kitu chochote kinachopikwa na mahindi. Na siku akiwa na hamu ya kula ugali basi dawa zake zinakuwa pembeni
 
Hi doctor ,ikitokea mtu ana tatizo la genital warts akatakiwa kutumia podophylln cream ,kwa bahati mbaya akapaka nyingi ikamuunguza kwenye scrotum,nini tiba yake??
 
Back
Top Bottom