rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Sijaelewa kukabwa??? Au unasikia Koo linakereketa??dokta habari za kazi
samahani naomba kuuliza dawa inayoweza kuondoa au kutibu tatizo la kuhisi kukabwa au kukwamwa na kitu kooni mfano wa nyama hivi sa hivi ni kama wiki mzima hivi hii hali aiondoki
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app