Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Tatizo la chunusi sugu mgongoni limechukua Kama miaka minne zinatokea mgongoni pamoja Na usaani nakuniachia mabaka mabaka.......
 
Tatizo la chunusi mgongoni pamoja Na usoni kwa muda wa miaka minne zinapungua Na kuongezeka. Pia zinaacha mabakabaka mgongoni tatizo nini Na dawa/ssabuni ipi nzurii
 
Mimi ninatatizo la kujaa tumbo hasa nikila pilili marimau,machungwa..nifanyaje ili hili tatizo liishe na niwe nakula hivi vitu..

Pia nikisafiri na boti au meli au nikibembea sana..kuna dalili zinanijia tumboni kias owamba nakosa nguvu kabisa nakutapika....
Naomba kujua tatizo ni nn?
 
Samahani mtaalam,mimi nilienda kupima UTI nikakuta ninayo,nikatumia dozi ya levoz,lakini ikawa kila asubuhi nikiamka naona kama usaha kwenye uume,nikatumia dozi hiyo ya levoz mara tatu lakini,hali hiyo ya usaha niamkapo bado ipo,nikapima tena UTI,nikakuta bado ipo,nikaanza kuchoma sindano za powersafe,mpaka nimemaliza lakini hiyo hali ya usaha mpaka sasa bado inajitokeza kila niamkapo,mpaka sasa sijajua tatizo ninini na nasikia maumivu ya mgongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ninatatizo docta yani ikifika asubuhi saa12 asubuhi nikiwa mkojo umenibana yani tumbo linakuwa linauma sana halafu mbele kwenye uume ndani ya ule mrija wakutoa mkojo kuna viuvimbe kama vile vinyama vya maji nilienda hospitali kupima ultra sound wakasema cna uvimbe cjui nifanyeje docta
Hilo tatizo hata mimi linanisumbua sana aisee alafu nikilala kabla ya kusinzia inanilazimu kukojokojoa baada ya muda mfupi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
doctor habari ntaandika kwa ufupi mm na tatizo niliwekewa drip kwanye mkono wangu wa kushoto kwasababu nilikuwa naumwa ilinilazimu niwekewe drip kwasababu niliandikiwa sindano za masaa baada ya kumaliza sindano nilitolewa drip nilikaa baada ya kama wiki 3 hivi nikaona kam kuna kauvimbe kadogo kanatokea hakaumi lakin naona kawaida 2 je huo uvimbe unaweza ukakua pia unaweza kuniletea madhara yeyote naomba msaada wako Tafadhali doctor
 
Mkuu nina binti yangu ana mwezi na wiki mbili Sasa tangu azaliwe ila kitovu chake kwa mda wa wiki mbili hizi kinakuwa kina simama kama dole gumba
Nimekwenda hospital kumwona mtalaam wa watoto kasema ni ngiri

1.Je mtoto wa kike hupata ngiri

2.Matibabu yake ni nini manake tabibu amesema tatizo litaisha
Lakini mtoto bado anateseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndgu yangu analalamika eneo LA kutolea hajakubwa limetanuka anamwaka wa 7sasa ,ila anakitambi pia hajayake inatoka kidogo ,lakini yeye huhisi anatoa bonge LA kinyesi ,akisimama anataman kulia kidogo kama kakipande kanyama mshikaki.tatizo nn msaada wako muhimu

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Na ndgu yangu analalamika eneo LA kutolea hajakubwa limetanuka anamwaka wa 7sasa ,ila anakitambi pia hajayake inatoka kidogo ,lakini yeye huhisi anatoa bonge LA kinyesi ,akisimama anataman kulia kidogo kama kakipande kanyama mshikaki.tatizo nn msaada wako muhimu

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Hiyo Ni bawasiri ,atumie dawa za asili inatibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikua na UTI toka 2013
hospital nikila dawa after time inarudi Kawa chronic tar 5 December 2019 nikiwa nairobi nikaanza kuskia mgongo tumbo na kibofu cha mkojo vinaima na pia urethra na testicular ina tensions nikaenda pharmacy wakaniambia nikapime ili wajue ni ni fangle infection au bacterial infection nikapima nikaambiwa mkojo hauna inflation ila nikashauriwa nifanye pelvic ultra sound majibu yakaja kua nina cystitis na prostatitis nikapigwa drip 9 za antibiotics kwa siku 3 yani kwa siku drip kubwa moja na ndogo mbili na sindano moja takoni niipomaliza nikapewa amoxicilin na nyingine siikumbuki nikatumia ila sababu nilikua Nairobi kikazi na zile amoxicillin 500mg zilikua zinanichosaha sna nikamuuliza dr km naweza kuacha nakuanza nyingine akanipa zinnat 250mg

Ni week mbili toka nimalize dose najiskia kupona ila bado kuna some symptoms zimebaki km maumivu ya mgongo kiuno,acidity tumboni,nikianza kukojoa kuna some burning sensations,joint mild pain and throat tension and bloating
Sasa swali ni je

Niendelee na antibiotics or Nipime tena?

Kwa sasa nimerudi nipo dar




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom