Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo tatizo hata mimi linanisumbua sana aisee alafu nikilala kabla ya kusinzia inanilazimu kukojokojoa baada ya muda mfupi sananinatatizo docta yani ikifika asubuhi saa12 asubuhi nikiwa mkojo umenibana yani tumbo linakuwa linauma sana halafu mbele kwenye uume ndani ya ule mrija wakutoa mkojo kuna viuvimbe kama vile vinyama vya maji nilienda hospitali kupima ultra sound wakasema cna uvimbe cjui nifanyeje docta
Hiyo Ni bawasiri ,atumie dawa za asili inatibika.Na ndgu yangu analalamika eneo LA kutolea hajakubwa limetanuka anamwaka wa 7sasa ,ila anakitambi pia hajayake inatoka kidogo ,lakini yeye huhisi anatoa bonge LA kinyesi ,akisimama anataman kulia kidogo kama kakipande kanyama mshikaki.tatizo nn msaada wako muhimu
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Kutoka kinyama ni ugonjwa unajulikana kiingereza hermorroid unasababishwa na ulaji mbaya na life style.kuna dawa za kiarabu ukiihitaji nifahamishe Ila usifanye operation.itagharimu dawa kama 30,000
Nilisema kinyesi kidogosana kama kipande chanyama nasio hivoKutoka kinyama ni ugonjwa unajulikana kiingereza hermorroid unasababishwa na ulaji mbaya na life style.kuna dawa za kiarabu ukiihitaji nifahamishe Ila usifanye operation.itagharimu dawa kama 30,000
Sent using Jamii Forums mobile app