Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Riki boy ..Nina heartburn ... Nahisi ipo associated na Vidonda vya tumbo...napata shida sana nikichelewa kula.. au usiku nakuta chembe ya moyo inauma sana Ila nikipata chakula hiyo Hali inaisha.

Nimetumia antacids... Hazisaidii...pia Omeprazole haijanisaidia.

Nitumie dawa gani?
Huwa unakunywa dawa kabla au baada ya kula??? Omeprazole haziko vizuri sana ungepata Pantoprazole ingekuwa poa zaidi.

Njia sahihi kunywa hizi dawa Kunywa pantoprazole asubuhi nusu saa au lisaa kabla ya kula chakula huwa ni Kidonge kimoja cha 40mG then ukishakula baada ya lisaa limoja kunywa Recer Gel. Ambapo recel gel utaendelea kunywa kila baada ya kula ili kuondoa acid ambayo inaweza kuwa imezalishwa. Japo wengine hunywa hizi dawa zote kwa pamoja kabla ya kula lakini wewe kunywa nilivyokuelekeza then tutaangalia majibu yake.

Lakini pia Ungefanyiwa kipimo cha Helicobacter Plyori kujua kama una hao bacteria maana kama hao bacteria kama unao hata unywee hizi dawa miaka mingapi bila Antibiotics za kuua hawa bacteri ni kazi bure Mkuu maana hawa ndo Huaribu zaidi kuta cha Tumbo na kusababisha acid kuleta madhara zaidi. Pole sana.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Ahsante mkuu..naufanyia kazi ushauri wako
 
hayo in matatizo yanayosababishwa na uharibifu Wa Neva(neuropathy)
ok fanya haya yatakusaidia
-Kula vyakula vyenye mkusanyiko wa vitamini B za kutosha

- Fanya mazoezi ya mwili kama kukimbia, Kutembea n.k pia kufanya massaging

- Punguza uzito uliopitiliza

- Tumbukiza miguu katika maji ya vuguvugu yenye chumvi

-Epuka kutumia pombe Mara kwa mara

- Tibu maradhi ya sukari hakikisha sukari ipo sawa

- Ondoa sumu kali mwilini mara kwa mara

- Chua miguu yaki kwa vitu vinavyopunguza maumivu ,vinavyosaidia mzunguko wa damu kuwa Vizuri (paka Asali mbichi, shubiri na limao).
-dawa aina ya Neuro support
Asante, kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
Yupo ndugu yangu ana tatizo la kutokusikia vizuri, ukiongea nae uongee taratibu ndo asikie lakini masikio hayaumi, msaada Dr
 
Yupo ndugu yangu ana tatizo la kutokusikia vizuri, ukiongea nae uongee taratibu ndo asikie lakini masikio hayaumi, msaada Dr
Ana mtatizo ya Nerves zinazohusiana na Usikivu...!! Hii inapelekea ubongo kushindwa kupambanua taarifa faster faster.. Atapewa Neurosupport na Multivitamin inaweza kumsaidia.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Asalaam aleysum mkuu
Nina mgonjwa wa kike anasumbuliwa na maaumivu ya tumbo la chini,
upande wa kushoto na

upande wa kulia, kamaliza dawa zote, anamatatizo ya kizazi, nazani kama mtaalam matatizo haya huwapata wanawake wengi ambae kizazi chao kina matatizo,

naomba msaada mkuu nini kifanyike, kishafanya vipimo vyote, kaonekana mfuko wake wa uzazi umegandana na kibofu cha mkojo,solution ni kufqnya opretion
Alifanya opretion madocta walishindwa kukitoa kizazi, baadae nimeshauriwa na doctor mwenyewe.
asifanyie hapa tz, na pia mirija yake imeshikana, kwa hivyo siku ya ovulation maumivi anayopata ni makubwa, kaandikiwa shindano zinazoitwa LUPRiDE ambazo anapiga kila mwezi lakini bado maumivu yapo ila yamepungua kidogo

Naomba ushauri kwako ikiwa dawa ya maumivu imeshindikana je ushauri wako kwa hapa africa au asia hospitali gani nzuri nimpeleke, vizuri tuangalia kwanza hapa africa shukran
 
Habari doctor.
Mm ni mfuatiliaji wako mzuri wa huduma ya bure unayoitoa hapa jamiiforums kwa hilo nikushukuru sana kwa7bu kwa dunia hii watu kama ww mpo wachache sana.

Samahini dr mm ninahisi ninatatizo la mmeng'enyo wa chakula na kama chakula hakifanyi kazi mwilini. kwa7bu huwa nakula sana na ninakunywa maji mengi sana na muda mwingi naenda chooni.
Na muda mwingi nakuwa sina nguvu na nimejaribu kunywa dawa za minyoo za kila aina lakini hamna kitu.

Na katika kujaribu kutmia dawa za asili majani ya mlonge yaliyo sagwa ni kama ndio yanasaidia kwahiyo kila siku lazima nitumie kwenya maziwa freshi kijiko kimoja.
Na nikifanya hivyo ndio narudi kwenye hali ya kawaida yani hata kwasiku hata nikila mlo mmoja nakuwa safi na chooni naenda mara chahe sana.
Ila nisipo tumia mlonge hata siku moja hali inajirudia
Na saizi natumia huo mlonge kwa miezi 8
Dr naomba unipe solution ya kulimaliza kabisa hili tatizo
 
Habar dokta, Mimi nasumbuliwa na tattz la kuwashwa mail kwa dakika kama 15 baada tu ya kumaliza kuoga Sasa Ni mwaka wa 7 lkn pia nikiloana jasho nikivua nguo tu kosa naanza kuwashwa nikienda hospital nikaambiwa Nina allergy wakanipa madawa ya kichina Ila bd sijapona nateseka kweli!!
2.week moja Sasa nasikia maumivu upande wa kulia wa Kifua kwa ndani maumivu haya nayasikia zaidi nikilala Ila vitu vizito naweza kunyanyua, na Kazi kufanya Kama kawaida Ila inapukuja inshu ya kulala hasa upande huo unauma Sana Sana kiasi Cha kwamba kila usiku nikijigeuza usingizin nilazime nimamke kwa maumivu makali nalala kwa kukaa.. ttz kitakuwa Ni Nini? Je, linahusiano na Kazi ninayoifanya? Mm Ni dereva wa magari makubwa!!!
Ulishapona mkuu ?
 
Habari doctor.
Mm ni mfuatiliaji wako mzuri wa huduma ya bure unayoitoa hapa jamiiforums kwa hilo nikushukuru sana kwa7bu kwa dunia hii watu kama ww mpo wachache sana.

Samahini dr mm ninahisi ninatatizo la mmeng'enyo wa chakula na kama chakula hakifanyi kazi mwilini. kwa7bu huwa nakula sana na ninakunywa maji mengi sana na muda mwingi naenda chooni.
Na muda mwingi nakuwa sina nguvu na nimejaribu kunywa dawa za minyoo za kila aina lakini hamna kitu.

Na katika kujaribu kutmia dawa za asili majani ya mlonge yaliyo sagwa ni kama ndio yanasaidia kwahiyo kila siku lazima nitumie kwenya maziwa freshi kijiko kimoja.
Na nikifanya hivyo ndio narudi kwenye hali ya kawaida yani hata kwasiku hata nikila mlo mmoja nakuwa safi na chooni naenda mara chahe sana.
Ila nisipo tumia mlonge hata siku moja hali inajirudia
Na saizi natumia huo mlonge kwa miezi 8
Dr naomba unipe solution ya kulimaliza kabisa hili tatizo
Jaribu hii ilimsaidia mtu, tafuta tangawizi mbichi changanya na asali, na vitunguu maji + vitunguu saumu hiyo cream yake una kunywa utakavyo hata usiku baada ya kula . Itakusaidia sana

Kingine katika mlo wako wa siku usikose matunda hasa mapapai na nanasi na ndizi haya husaidia sana mmengenyo wa chakula
 
Hivi inakuaje mzazi anaenyonyesha hajaona m.p(hedhi) akifanya tendo la ndoa uwezekano wa ujauzito upo?
Miez mitatu Sasa hajaona chochote kwenye mzunguko wake wa hedhi.
Tafadhali naomba msaada,
 
Samahan dokta nasumbuliwa na tatizo la kuumwa kifua kikavu kwa muda mrefu nimeenda hospital wanasema ni dalili za pumu pia Nina tatizo la gall bladder msaada plz
 
Habari yako doctor...
Mke wangu anasumbuliwa sana na maumivu katika mgono.
Tiba yake ni ipi doctor.
 
habari
kuna nili tatizo la kuhisi kitu kama nyama hi I au tonge kukwama kooni, je nili tatizo linatokana na nini? na je ni ipi dawa ya tiba yake
natanguliza shukran
 
Hivi gonorhea kipi n chanzo Cha huu ugonjwa wengi tunajua unasambaa kwa njia ya ngono lakini kipi Ni chanzo Cha huu ugonjwa mfano malaria n kung'atwa na mbu Sasa hili la gonorhea wataalamu wa afya naomba kujua chanzo tafadhali
 
Habari!

Mimi nasumbuliwa na maumivu ya chini ya kisigino yanauma Sana wakati wa asubuhi au nikikaa muda mrefu nikija kutaka kutembea napata maumivu makali Sana
 
Back
Top Bottom