rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Huwa unakunywa dawa kabla au baada ya kula??? Omeprazole haziko vizuri sana ungepata Pantoprazole ingekuwa poa zaidi.Riki boy ..Nina heartburn ... Nahisi ipo associated na Vidonda vya tumbo...napata shida sana nikichelewa kula.. au usiku nakuta chembe ya moyo inauma sana Ila nikipata chakula hiyo Hali inaisha.
Nimetumia antacids... Hazisaidii...pia Omeprazole haijanisaidia.
Nitumie dawa gani?
Njia sahihi kunywa hizi dawa Kunywa pantoprazole asubuhi nusu saa au lisaa kabla ya kula chakula huwa ni Kidonge kimoja cha 40mG then ukishakula baada ya lisaa limoja kunywa Recer Gel. Ambapo recel gel utaendelea kunywa kila baada ya kula ili kuondoa acid ambayo inaweza kuwa imezalishwa. Japo wengine hunywa hizi dawa zote kwa pamoja kabla ya kula lakini wewe kunywa nilivyokuelekeza then tutaangalia majibu yake.
Lakini pia Ungefanyiwa kipimo cha Helicobacter Plyori kujua kama una hao bacteria maana kama hao bacteria kama unao hata unywee hizi dawa miaka mingapi bila Antibiotics za kuua hawa bacteri ni kazi bure Mkuu maana hawa ndo Huaribu zaidi kuta cha Tumbo na kusababisha acid kuleta madhara zaidi. Pole sana.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app