theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
- Thread starter
-
- #201
tafuta carbamate mkuu zipo nyingi katika maduka ya dawa za mifugo na kilimo mfano Amitraz ni nzuri sana mkuuNaomba kujua ni dawa gani inayomaliza kabisa tatizo la viroboto kwa mbwa
Nipo dar boss mkuu....Dr majibu ya hiyo vipi na hongera uko wapi mate
Karibu mkuu.....Good lesson
Karibu tukuhudumie mkuu.....Huu uzi una manufaa sana
wafugaji wanaamini kuwa ukimpandidha ngombe kwa chupa anaxzaa dume. Experience yao inaonyesha hivyo.Habari Wakuu....
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua....
Na pia kwa wale wakazi wa Dar es salaam na viunga vyake wanaohitaji huduma za ki veterinarian natoa huduma za chanjo na kutibu kwa wanyama wote wa nyumbani kama vile ;
Pia nafanya surgical operation kwa pets (mbwa na paka) kama vile castration and ovariohysterectomy (kufunga vizazi kwa madume na majike) and many other surgical operation kwa mifugo ya nyumbani tu.....
- Pets (Dog and cat)
- Cattle (Ng'ombe)
- Shoats (Mbuzi na Kondoo)
- Fresh water fish (samaki)
- Poultry (Kuku)
- Rabbit (Sungura)
Jamaa mpiganaji sana....Umenikumbusha kipindi fulani cha Daktari kama wewe incredible Dr Pol kinaonyeshwa chanel ya National Geographic
Jitahidi ufikie level zake
Naskia mualovera pia ni dawa nzuri na inaponya magonjwa mengi....Mkuu mi mara nyingi kuku wangu huwa wanatoa hiki kinyesi nikiwapa mualovera
Mkuu hapo tatizo yaweza kuwa ni avian pox (cutaneous form) or yaweza kuwa ni ectoparasite but na imani kuku wako una wa manage vizuri.... na pia yaweza kuwa ni dermatomycosis ambao husababishwa na fungus mkuu.... pia huwa na tatizo hilo la kunyonyoka manyoya....Aiss vifaranga wa mwezi na nusu wananyonyoka manyoya ya kichwani na vichwa kubaki na mapunye..vibarango!je ni tatizo gani na nini tiba yake
mkuu kuwachinja kuku kwa umri huo huoni kuwa utakuwa una violate animal welfare...What will happen kama nitawachanja baada ya mwezi au wiki mbili tatu?!
Nitaweka pichaMkuu hapo tatizo yaweza kuwa ni avian pox (cutaneous form) or yaweza kuwa ni ectoparasite but na imani kuku wako una wa manage vizuri.... na pia yaweza kuwa ni dermatomycosis ambao husababishwa na fungus mkuu.... pia huwa na tatizo hilo la kunyonyoka manyoya....
Thou ningepata picha ingesaidia zaidi mkuu....
Dr. Nakuoma ushauri. Yule ngombe wangu aliyekuwa ameshindwa kusimama..incumbency for 21 days, kama nilivyokwambia amerecover. Ameingia kwenye joto. Nasita kumpandisha nikiogopa atavunjika maana nahisi mifupa haijawa imara. Naomba ushauri.Ndio mkuu pia unaweza wachanja kwa muda huo na bado wakakupa matokeo mazuri tu.....
Lakni ukumbuke ya kuwa mwangalifu next time unapoamua kufuga ufuate njia sahihi ya chanjo....
Kila la kheri mkuu....
Hakuna ukweli wowote mkuu ni ideology iliyojenga tu miongoni mwa wakulima.... kupandisha ng'ombe kunaweza kukupa ndama either dume or jike na si vinginevyoo thou inasemekana mara nyingi rate ya dume huwa ni kubwa tofouti na jike sijafuatilia hilo kwa undani sana....wafugaji wanaamini kuwa ukimpandidha ngombe kwa chupa anaxzaa dume. Experience yao inaonyesha hivyo.
Je ni kweli? Kama ni kweli ni kwa nini?
But nahisi itakuwa ni hiyo dermatomycosis... vipi kuna vifo vyovyote?Nitaweka picha
asante sana. nadhani you are right! NAIC ni nini Dr. wengine hatuyajui haya mamboHakuna ukweli wowote mkuu ni ideology iliyojenga tu miongoni mwa wakulima.... kupandisha ng'ombe kunaweza kukupa ndama either dume or jike na si vinginevyoo thou inasemekana mara nyingi rate ya dume huwa ni kubwa tofouti na jike sijafuatilia hilo kwa undani sana....
But kutokana na hilo naona NAIC kwa sasa wanatoa mbegu ambayo wewe mkulima ukitaka jike unapata na pia ukitaka upate madume unapata pia but gharama yake iko juu sana kulingana na hizo za kawaida mkuu.....
Nahisi nitakuwa nimekujibu kidogo swali lako mkuu...
Ana muda gani sasa tangu ajifungue maana kitaalamu inashauriwa ngombe kupumzika siku 45-60 before hajabeba mimba tena kama keshavusha hapo ruksa kupandisha mkuu.....Dr. Nakuoma ushauri. Yule ngombe wangu aliyekuwa ameshindwa kusimama..incumbency for 21 days, kama nilivyokwambia amerecover. Ameingia kwenye joto. Nasita kumpandisha nikiogopa atavunjika maana nahisi mifupa haijawa imara. Naomba ushauri.
NAIC - National artificial insermination centre iko pale arusha USA river arushaasante sana. nadhani you are right! NAIC ni nini Dr. wengine hatuyajui haya mambo
miezi 4 sasa, ila kule kuugua incumbency for 21 days, si mufupa ni miteke madume mazito yanaweza kumvunja?Ana muda gani sasa tangu ajifungue maana kitaalamu inashauriwa ngombe kupumzika siku 45-60 before hajabeba mimba tena kama keshavusha hapo ruksa kupandisha mkuu.....
Mi sijasema kuwachinjamkuu kuwachinja kuku kwa umri huo huoni kuwa utakuwa una violate animal welfare...
Hata kama ni ndege pia wana Haki ya kuishi mkuu....