Mshikemshike
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 421
- 210
Asante sana kwa kunielewesha. Kingine chanjo ya typhoid wanapewa kuku wakifika week ngap? na utaratibu mzuri wa chakula je wanakula kwa kiwango gnChanjo ya kuchoma ndio iko njema zaidi mkuu kwa kutumia technique ya wing web stab per cutaneous ....
Hiyo ya maji pia yaweza tumika but sidhani kama yaweza kuwa more effective kama iyo ya kuchoma mkuu....
kila la kheri...