Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi sio Mzoefu wa mikeka hata maana ya Odds sielewi ni juzi tu ndo nimeingizaMkuu unataka mkeka wenye odds ngap? Au ulikuwa unata atleast ipatkane shiling ngap?
Mkuu soma tena hio comment yangu, kuyeyuka(kuondoka) hio ndio maana yake.Hiyo imani yako tu Mkuu, Ikiwa wanawake wanajenga na wanafanya makubwa kwa
pesa ya umalaya itakuwa kubet?
Hii ukicheza unaweza tumia account moja au namba moja? Mfano m bet ... Nikabet mara zote izoMkuu kuna njia moja inaitwa professor gharama yake ni laki 9 yani utatoa mikeka ya buku buku ya laki tisa na hii unacheza kwenye JACKPOT peke yake maana ndio kuna mkwanja mkubwa katika mikeka yote utakayotowa ni lazima mkeka mmoja utusue then kuna mikeka 3 ambayo utakosa team mbili na mwingine team 3
Duh! laki 9 ya buku buku inamaana ni mikeka 900 au sijaelewa?Mkuu kuna njia moja inaitwa professor gharama yake ni laki 9 yani utatoa mikeka ya buku buku ya laki tisa na hii unacheza kwenye JACKPOT peke yake maana ndio kuna mkwanja mkubwa katika mikeka yote utakayotowa ni lazima mkeka mmoja utusue then kuna mikeka 3 ambayo utakosa team mbili na mwingine team 3
ndio... Lakini unashinda milion 100+Duh! laki 9 ya buku buku inamaana ni mikeka 900 au sijaelewa?