Mtaalamu wa mikeka anisaidie nataka kuweka milioni moja

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Habarini wakuu, nataka kujilipua kwa kutandika mikeka ya milioni 1
Naomba mtaalamu anisaidie, kitakachopatikana kama nitafanikiwa
basi mgao utakuwa 60% kwa 40% Kama tutakosa hana lawama kwangu
ni matokeo tu.
 
Mkuu unataka mkeka wenye odds ngap? Au ulikuwa unata atleast ipatkane shiling ngap?
 
Mkuu mimi sio Mzoefu wa mikeka hata maana ya Odds sielewi ni juzi tu ndo nimeingiza
nimejaribu ile ya Man na Ajax na vitimu vingine nimeweka 1000 nikapata 126,000
na hata timu nilizochagua sizifahamu zaidi ya Zile kubwa.
 
Odds ni point! Kwa mfano labda ukimpa liverpool ashinde ni odds 1.50. Hapa inamaanisha ukiweka 1000 utapata 1500
 
Ahsante maana mimi nilikuwa nachagua tu kwa hisia bila kuangalia Hizo Odds
huwa natumia kampuni inaitwa Superbets.
 
Kamari haimuachi mtu salama. Hela ya kamari na ngada sijui ipi huyeyuka faster.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mkuu kuna njia moja inaitwa professor gharama yake ni laki 9 yani utatoa mikeka ya buku buku ya laki tisa na hii unacheza kwenye JACKPOT peke yake maana ndio kuna mkwanja mkubwa katika mikeka yote utakayotowa ni lazima mkeka mmoja utusue then kuna mikeka 3 ambayo utakosa team mbili na mwingine team 3
 
Hiyo imani yako tu Mkuu, Ikiwa wanawake wanajenga na wanafanya makubwa kwa
pesa ya umalaya itakuwa kubet?
Mkuu soma tena hio comment yangu, kuyeyuka(kuondoka) hio ndio maana yake.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mkuu kuna njia moja inaitwa professor gharama yake ni laki 9 yani utatoa mikeka ya buku buku ya laki tisa na hii unacheza kwenye JACKPOT peke yake maana ndio kuna mkwanja mkubwa katika mikeka yote utakayotowa ni lazima mkeka mmoja utusue then kuna mikeka 3 ambayo utakosa team mbili na mwingine team 3
Hii ukicheza unaweza tumia account moja au namba moja? Mfano m bet ... Nikabet mara zote izo
 
Mkuu kuna njia moja inaitwa professor gharama yake ni laki 9 yani utatoa mikeka ya buku buku ya laki tisa na hii unacheza kwenye JACKPOT peke yake maana ndio kuna mkwanja mkubwa katika mikeka yote utakayotowa ni lazima mkeka mmoja utusue then kuna mikeka 3 ambayo utakosa team mbili na mwingine team 3
Duh! laki 9 ya buku buku inamaana ni mikeka 900 au sijaelewa?
 
Back
Top Bottom