Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

Rais wa kwanza kuigawa Tanzania kwa sababu zake za kiwizi wizi na udikteta.
 
Rais wa kwanza kuigawa Tanzania kwa sababu zake za kiwizi wizi na udikteta.
Nani ampigie kura kichaa?
 
Naona umejiunga Jf 2023, ninyi ndo mnatengeneza ID nyingi ili tu mumsifie huyo muuaji wenu.
 
Hivi ni Nani anakulipa kumtetea huyu shetani.?
 
Huyu magufuli amekuwa mungu? Tuseme hajakosea popote hata asisemwe au asiandikwe?
Mtu mzima unabwatuka hovyo hata kitabu chenyew ukute hujakisom?
Kamfufueni
Na pengine hata hataweza kukisoma; amesikia tu kuna kitabu kimeandikwa kuhusu ule utawala wa giza!
 
Ulitegemea Chato hata kama baada ya miaka mia mbili kungetokea maendeleo yoyote? Tumepita na kutembelea chato. Kile ni kijiji chenye hotel ya mwendazake kuvutia wapita njia basi. Tusidanganyane kwa lolote. Heri maendeleo hayo angeyapeleka hata Geita mjini tungesifia.
 
Mwanaume hahitaji kusifiwa sifiwa! Umsifie kwani wewe shogha?
 
Kuna tangazo linasema wale wote walioondolewa kazini kwa uonevu (bila barua) kuanzia 2016-2021 warudi kazini. HUU NI USHAHIDI YULE SHETANI ALIONEA NA KUUMIZA SANA WATU
 
Kuna tangazo linasema wale wote walioondolewa kazini kwa uonevu (bila barua) kuanzia 2016-2021 warudi kazini. HUU NI USHAHIDI YULE SHETANI ALIONEA NA KUUMIZA SANA WATU
Na ndio hao mnaoandamana kwenye mitandao ya kijamii, yaani vilaza mnafurahia kurudishwa kazini?

Mlifanyia watu operation ya kichwa badala ya mguu?

Mliwapa watu vidoogo vya kuwahisha uchungu wakati wanaumwa kichwa?

Nchi ya wapumbavu tu wanaoweza kufurahia Hili,
 
Magufuli atabaki raisi aliyesambaratisha mafisadi papa na kufanya mambo ambayo mafisadi hao walihisi hakuna atakayeweza kuyafanya, kwa kizungu tunaita "Wonders"

Alifanya the inverse ya awamu ya 4 na ndio maana washenzi wengi waliteseka. Wengi waliokuwa wanalia chungu ya awamu ya 5 ni wezi matapeli, wanyonyaji na janja janja. Walikatiwa mirija ya upigaji.

Sasa mwamba hayupo kwao hali ni shwari wanatukana wanavyojiskia ila wakumbuke tu kuwa haitasaidia. Magufuli alikuwa na huruma kwa watu waliostahili huruma na alikuwa kavu kwa watu washenzi. Nitamkumbuka kwa hilo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…