Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

Mkuu, binafsi yangu, hili suala la udini, Africa limetufanya tuwe nyuma sana! Yaani mtu ni mzuri kichwani na mchapa kazi, asipewe nafasi kwa sababu ya dini yake tu?

Huo ni upumbavu
Sipingani na wewe kwa hili,lakini hoja yangu inakuwa hivi pale watu unaokuwa nao karibu kimahusiano yaani dini moja,kabila moja,kanda moja kuwa wengi sana kwenye Serikali yako ina maana unaongozwa na hisia zaidi kuliko sheria iliyokuweka madarakani.
 
tolea mfano sasa!
 
Utaondolewaje kazini bila barua. Ni nani mjinga ataacha kwenda ofisini bila official notice. Ukiona hivyo ujue hukustahili kuwepo ofisini.
Hata asiyestahili kuwepo kazini anapaswa kuondolewa kwa barua itakayomweleza kwanini hapaswi kuwepo hapo. Kama hakupewa barua maana yake hakuondolewa!
 
Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa

Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais akijisahau haya majizi yanaweza kuondoka na pochi yake

Ni Magufuli pekee aliyeipandisha hadhi nchi yetu, ni yeye pekee aliyeibua miradi kedekede na isiyohesabika, miradi ya kimkakati na kuileta nchi katika uchumi wa kati mdogo! Hivi utamdanganya nani?

Ni Magufuli pekee aliyekuwa na huruma ya dhati kwa wananchi wote hasa wa chini, aliwajali na kutatua kero zao bila kuogopa wenye ukali

Ni serikali yake tu, iliyotaka kuondoa tabaka la walionacho na wasiokuwa nacho, watu hawa wanatuona kana kwamba wote tulikuwa chekechea siyo?

Halafu wasomi uchwala hao waliondika daftari Lao hilo, wote wako nje ya nchi na hawataki kurudi,

Hata hivyo, kwa nini wanatumia nguvu nyingi kiasi hiko? Nini kipo nyuma yao? Na ukichunguza zaidi, unagundua tu kwamba, miongoni mwa walioshiriki ni pamoja na waliotemwa kwenye nafasi za uteuliwa utawala wa Magufuli na wanafahamika, watu hawa wanaroho mbaya kuliko hata shetani, wako tayari kutoa uhai wa mtu hasa anapogusa maslahi yao!

Ninauhakika, Waovu hawawezi kutawala Milele hata kama katikati yao kuna mmoja tu mtenda haki, Sharti mtenda haki huyo, kwa nguvu isiyoshindwa, atapenya katikati yao, Hilo ninahakika nalo! Mungu hawezi kuruhusu upuuzi huu ukatawala, kwamba keki ya Taifa lishie kwa wachache na wengine kuishia kuwa na maisha ya kutangatanga katika nchi yao njema yenye kila aina ya vinono?

Tunarudia tena, hayati Magufuli, ni mtu ambaye, mafisadi mtatumia nguvu na shekeli zenu nyingi mno, lakini nasikitika kusema kwamba, mnapata hasara bule, hamtamchafua kamwe, utawala wake uliwagusa watu ambao nyinyi ni mabwege kwenu, watu dhaifu na ambao kwenu nyinyi hamkuwa kuwahesabu kama ni watanzania na wenye kuistahili heshima na haki kama raia wa nchi hii njema

Hata hivyo, mbona bado ni walewale vilaza na mafisadi?

Watu ambao wamejikusanya kuandika kitabu cha kumchafua Magufuli, ndio hao waliokuwa wakitafutwa wakihusishwa na wizi wa mali za watanzania wengi wao wakakimbilia nje ya nchi

Wasomi uchwala hao, wameandika kitabu kinachohusu serikali ya Magufuli ilivyowekeza katika mji wa Chato ambapo ni sehemu ya Tanzania.

Mantiki yao ni ipi haswa!

Hata iweje, waandike vitabu na vitabu, nyinyi wasomi uchea, tunachukua nafasi hii kuwakumbusha sisi wamachinga, wafanya biashara, wamama ntilie, wananchi wa kawaida, tunawakumbusha tu kwamba, Magufuli hawezi kuchafuliwa na yeyote kwa njia yoyote ile!

Tutaendelea kuguswa na yale ametufanyia kama nchi na wananchi!

Magufuli! Lala salama!

Kuna wajinga wachache wanadhani eti ni rahisi tusahau mema uliyotuachia!
Ila jamaa alikuwa siyo kabisa, nguvu nyingi akili kisheti.
 
Magufuli atabaki raisi aliyesambaratisha mafisadi papa na kufanya mambo ambayo mafisadi hao walihisi hakuna atakayeweza kuyafanya, kwa kizungu tunaita "Wonders"

Alifanya the inverse ya awamu ya 4 na ndio maana washenzi wengi waliteseka. Wengi waliokuwa wanalia chungu ya awamu ya 5 ni wezi matapeli, wanyonyaji na janja janja. Walikatiwa mirija ya upigaji.

Sasa mwamba hayupo kwao hali ni shwari wanatukana wanavyojiskia ila wakumbuke tu kuwa haitasaidia. Magufuli alikuwa na huruma kwa watu waliostahili huruma na alikuwa kavu kwa watu washenzi. Nitamkumbuka kwa hilo tu.
Mwaka 2015-2021 ulikuwa janga la kitaifa. Pesa nyingi zimepotea katika mazingira ya kutatanisha, watu wengi wametekwa, kuumizwa na kuuwawa na utawala dhalimu uliokuwepo. Wafanyabiashara wengi waliporwa mali zao na kulazimishwa kuchangia kampeni za CCM mwaka 2020.

Mama Samia ametumia muda na nguvu nyingi kurudisha utawala wa haki na sheria. Magufuli aliharibu mahusiano yetu mazuri ya kidiplomasia na jirani zetu na nchi za mbali. Fedha nyingi zilipelekwa kufichwa nje. Magufuli aliwaweka kabila lake kila ofisi muhimu ikiwa ni pamoja na ndugu au wapwa zake kama Dotto James kuwa chief accountant, jenerali Mabeyo kuwa mkuu wa majeshi na wengine wengi.

Tupo kwenye kipindi cha uponyaji wa nchi yetu iliyoharibiwa kwa udikteta wa Magufuli. Deni la taifa limeongezeka mara mbili wakati wa utawala wa kidikteta. Naamini sasa mambo yatakuwa mazuri baada ya kifo cha dikteta.
 
Tupo kwenye kipindi cha uponyaji wa nchi yetu iliyoharibiwa kwa udikteta wa Magufuli. Deni la taifa limeongezeka mara mbili wakati wa utawala wa kidikteta. Naamini sasa mambo yatakuwa mazuri.
Ripoti ya CAG mnawapa nafasi majizi kwa miezi 6?

Hapo unasemaje Mkuu! Nao ni ushujaa wa serikali iliyopo?
 
Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa

Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais akijisahau haya majizi yanaweza kuondoka na pochi yake

Ni Magufuli pekee aliyeipandisha hadhi nchi yetu, ni yeye pekee aliyeibua miradi kedekede na isiyohesabika, miradi ya kimkakati na kuileta nchi katika uchumi wa kati mdogo! Hivi utamdanganya nani?

Ni Magufuli pekee aliyekuwa na huruma ya dhati kwa wananchi wote hasa wa chini, aliwajali na kutatua kero zao bila kuogopa wenye ukali

Ni serikali yake tu, iliyotaka kuondoa tabaka la walionacho na wasiokuwa nacho, watu hawa wanatuona kana kwamba wote tulikuwa chekechea siyo?

Halafu wasomi uchwala hao waliondika daftari Lao hilo, wote wako nje ya nchi na hawataki kurudi,

Hata hivyo, kwa nini wanatumia nguvu nyingi kiasi hiko? Nini kipo nyuma yao? Na ukichunguza zaidi, unagundua tu kwamba, miongoni mwa walioshiriki ni pamoja na waliotemwa kwenye nafasi za uteuliwa utawala wa Magufuli na wanafahamika, watu hawa wanaroho mbaya kuliko hata shetani, wako tayari kutoa uhai wa mtu hasa anapogusa maslahi yao!

Ninauhakika, Waovu hawawezi kutawala Milele hata kama katikati yao kuna mmoja tu mtenda haki, Sharti mtenda haki huyo, kwa nguvu isiyoshindwa, atapenya katikati yao, Hilo ninahakika nalo! Mungu hawezi kuruhusu upuuzi huu ukatawala, kwamba keki ya Taifa lishie kwa wachache na wengine kuishia kuwa na maisha ya kutangatanga katika nchi yao njema yenye kila aina ya vinono?

Tunarudia tena, hayati Magufuli, ni mtu ambaye, mafisadi mtatumia nguvu na shekeli zenu nyingi mno, lakini nasikitika kusema kwamba, mnapata hasara bule, hamtamchafua kamwe, utawala wake uliwagusa watu ambao nyinyi ni mabwege kwenu, watu dhaifu na ambao kwenu nyinyi hamkuwa kuwahesabu kama ni watanzania na wenye kuistahili heshima na haki kama raia wa nchi hii njema

Hata hivyo, mbona bado ni walewale vilaza na mafisadi?

Watu ambao wamejikusanya kuandika kitabu cha kumchafua Magufuli, ndio hao waliokuwa wakitafutwa wakihusishwa na wizi wa mali za watanzania wengi wao wakakimbilia nje ya nchi

Wasomi uchwala hao, wameandika kitabu kinachohusu serikali ya Magufuli ilivyowekeza katika mji wa Chato ambapo ni sehemu ya Tanzania.

Mantiki yao ni ipi haswa!

Hata iweje, waandike vitabu na vitabu, nyinyi wasomi uchea, tunachukua nafasi hii kuwakumbusha sisi wamachinga, wafanya biashara, wamama ntilie, wananchi wa kawaida, tunawakumbusha tu kwamba, Magufuli hawezi kuchafuliwa na yeyote kwa njia yoyote ile!

Tutaendelea kuguswa na yale ametufanyia kama nchi na wananchi!

Magufuli! Lala salama!

Kuna wajinga wachache wanadhani eti ni rahisi tusahau mema uliyotuachia!
Muuwaji anatetewa na wahalifu wenzie
 
Mwaka 2015-2021 ulikuwa janga la kitaifa. Pesa nyingi zimepotea katika mazingira ya kutatanisha, watu wengi wametekwa, kuumizwa na kuuwawa na utawala dhalimu uliokuwepo. Wafanyabiashara wengi waliporwa mali zao na kulazimishwa kuchangia kampeni za CCM mwaka 2020.

Mama Samia ametumia muda na nguvu nyingi kurudisha utawala wa haki na sheria. Magufuli aliharibu mahusiano yetu mazuri ya kidiplomasia na jirani zetu na nchi za mbali. Fedha nyingi zilipelekwa kufichwa nje. Magufuli aliwaweka kabila lake kila ofisi muhimu ikiwa ni pamoja na ndugu au wapwa zake kama Dotto James kuwa chief accountant, jenerali Mabeyo kuwa mkuu wa majeshi na wengine wengi.

Tupo kwenye kipindi cha uponyaji wa nchi yetu iliyoharibiwa kwa udikteta wa Magufuli. Deni la taifa limeongezeka mara mbili wakati wa utawala wa kidikteta. Naamini sasa mambo yatakuwa mazuri baada ya kifo cha dikteta.
Kwanza nipende kutangulia na salamu kummmko!

Utawala wa haki na sheria unaozungumzia ndio ule wa kuachia wezi na mafisadi toka jela na kuwarudisha uraiani kibabe?

Kuwatoa wamasai kibabe kule Serengeti kwa kuwapiga na risasi pia ilikuwa ni utawala bora wa sheria na haki bila shaka.

Huo ufisadi ulioanikwa na CAG juzi ni juhudi nzuri za kukuza uchumi za mama yenu. Bila kusahau amekopa hela nyingi pamoja na kutuletea tozo za miamala huku wakiuhadaa umma ni za kujengea vyoo na madarasa sijui hospitali. Accountability ya tozo hakuna.

Acha mambo ya kichoko kama huna hoja kaa kimya. Sio lazma uoneshe ujinga wako humu.
 
Kummmko?!

Pamoja na kuwafunga majizi ya kweli, pia Magufuli alitumia nafasi yake kuwaweka ndani watu wengine wasio na hatia kutokana na chuki binafsi tu, ni wengi hasa matajiri kutoka kanda flani.

Kama ubabe umefanyika kuwatoa wamasai Serengeti ni mwendelezo wa awamu ya 5 ambayo mama ni mmoja wapo. Ila afadhali mama amewasafirisha Tanga na kuwajengea nyumba. Magufuli aluvunja nyumba za watu Dar kupisha ujenzi wa barabara lakini bila aibu akaacha kuvunja Mwanza akisema wale ni wapiga kura wake!

Ufisadi huo umeanzia enzi za Magufuli. Afadhali kwamba CAG sasa yupo huru asema yote kama yalivyo. Tunajua sote jinsi Professor Assad CAG wa enzi za Magufuli alivyozuiliwa kuweka wazi MADUHDUH ya ajabu aliyofanya Magufuli mwenyewe, CAG alifukuzwa kinyemela, liko wazi mno sasa yale madudu ndio yanawekwa wazi.

Najua mliokuwa mnanufaika na USHENZI wa Magufuli mnachukia sana kwa kunyang’anywa tonge mdomoni ila mjifunze sasa kuishi kwa haki!
 
Hamna mtu ananufaika na utawala wa Raisi yeyote yule zaidi kama Raisi anajielewa na kufanya social services ziwe rahisi kwa wananchi na hali ya maisha kuwa nafuu.

Compare hayo mawili tu kisha utaona raisi yupi ana make sense kwa welfare ya raia wake.
 
Magufuli alifanya maamuzi mabaya ya matumizi ya umma na kupoteza fedha nyingi zaidi kuliko hata zile zilizopotea kwa wizi. Mifano ipo mingi. Watanzania wengi walikimbilia kumpenda JPM either kwasababu ya ujinga wao au walinufaika kibinafsi na uongozi wake mbovu. Sasa wengi wanafunguka macho.
 
Hawa watu ni waajabu kweli kwel
Wanapambana na hayati na bado anawatoa knockout.
Na bila kujua kadri wanavyozidi kumchafua marehemu ndivyo wanavyozidi kufanya aonekane bado yupo hai.
Magufuli aliwekeza kwa watanzania wao wanawekeza kwa wazungu sasa watamshinda vp JPM?
Leo hii tukipiga kura kuchagua kaburi la JPM na wao walio hai
Tena wao wafanye kampeni kila mtaa kwa miezi sita. Nna hakika kaburi litashinda kwa zaidi ya 80%
 
Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa

Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais akijisahau haya majizi yanaweza kuondoka na pochi yake

Ni Magufuli pekee aliyeipandisha hadhi nchi yetu, ni yeye pekee aliyeibua miradi kedekede na isiyohesabika, miradi ya kimkakati na kuileta nchi katika uchumi wa kati mdogo! Hivi utamdanganya nani?

Ni Magufuli pekee aliyekuwa na huruma ya dhati kwa wananchi wote hasa wa chini, aliwajali na kutatua kero zao bila kuogopa wenye ukali

Ni serikali yake tu, iliyotaka kuondoa tabaka la walionacho na wasiokuwa nacho, watu hawa wanatuona kana kwamba wote tulikuwa chekechea siyo?

Halafu wasomi uchwala hao waliondika daftari Lao hilo, wote wako nje ya nchi na hawataki kurudi,

Hata hivyo, kwa nini wanatumia nguvu nyingi kiasi hiko? Nini kipo nyuma yao? Na ukichunguza zaidi, unagundua tu kwamba, miongoni mwa walioshiriki ni pamoja na waliotemwa kwenye nafasi za uteuliwa utawala wa Magufuli na wanafahamika, watu hawa wanaroho mbaya kuliko hata shetani, wako tayari kutoa uhai wa mtu hasa anapogusa maslahi yao!

Ninauhakika, Waovu hawawezi kutawala Milele hata kama katikati yao kuna mmoja tu mtenda haki, Sharti mtenda haki huyo, kwa nguvu isiyoshindwa, atapenya katikati yao, Hilo ninahakika nalo! Mungu hawezi kuruhusu upuuzi huu ukatawala, kwamba keki ya Taifa lishie kwa wachache na wengine kuishia kuwa na maisha ya kutangatanga katika nchi yao njema yenye kila aina ya vinono?

Tunarudia tena, hayati Magufuli, ni mtu ambaye, mafisadi mtatumia nguvu na shekeli zenu nyingi mno, lakini nasikitika kusema kwamba, mnapata hasara bule, hamtamchafua kamwe, utawala wake uliwagusa watu ambao nyinyi ni mabwege kwenu, watu dhaifu na ambao kwenu nyinyi hamkuwa kuwahesabu kama ni watanzania na wenye kuistahili heshima na haki kama raia wa nchi hii njema

Hata hivyo, mbona bado ni walewale vilaza na mafisadi?

Watu ambao wamejikusanya kuandika kitabu cha kumchafua Magufuli, ndio hao waliokuwa wakitafutwa wakihusishwa na wizi wa mali za watanzania wengi wao wakakimbilia nje ya nchi

Wasomi uchwala hao, wameandika kitabu kinachohusu serikali ya Magufuli ilivyowekeza katika mji wa Chato ambapo ni sehemu ya Tanzania.

Mantiki yao ni ipi haswa!

Hata iweje, waandike vitabu na vitabu, nyinyi wasomi uchea, tunachukua nafasi hii kuwakumbusha sisi wamachinga, wafanya biashara, wamama ntilie, wananchi wa kawaida, tunawakumbusha tu kwamba, Magufuli hawezi kuchafuliwa na yeyote kwa njia yoyote ile!

Tutaendelea kuguswa na yale ametufanyia kama nchi na wananchi!

Magufuli! Lala salama!

Kuna wajinga wachache wanadhani eti ni rahisi tusahau mema uliyotuachia!
Mkuu uko sahihi. Dhahabu hata ifichwe ndani ya uchafu wa Kila aina hubaki kuwa dhahabu tu. Magufuli ni dhahabu sio ya Tanzania tu, bali ya Afrika na Dunia nzima! Wanaolazimisha kuwa ni wazuri na wanaupiga Mwingi, wasubiri watoke madarakani ndio wataijua kweli yao!
 
Ngoja tuje twosome hivyo kitabu cha waandishi uchwara tuone walichoandika waandishi blabla
 
Mkuu uko sahihi. Dhahabu hata ifichwe ndani ya uchafu wa Kila aina hubaki kuwa dhahabu tu. Magufuli ni dhahabu sio ya Tanzania tu, bali ya Afrika na Dunia nzima! Wanaolazimisha kuwa ni wazuri na wanaupiga Mwingi, wasubiri watoke madarakani ndio wataijua kweli yao!
Wapuuzi wachache wanadhani watashinda hii vita! Never!
 
Magufuli atabaki kuwa rais aliyeigawa nchi yetu kwa misingi ya kikabila na mtu aliyevuruga mshikamano wetu. Atakumbukwa kwa visasi, kufanya maamuzi bila kushirikisha bunge, upendeleo wa kikabila na kindugu, uteswaji na hata kwa vifo vya wapinzani wake kisiasa. Alivuruga uhusiano wetu na nchi jirani na hata nchi za Ulaya. Ameacha doa kubwa katika historia ya Tanzania.
Uhusiano wetu upi uliovurugwa?
Uhusiano kati ya nchi hii na nchi gani?
Kenya?
Je tunabufaika nini na uhusiano wetu mzuri na Kenya kwa sasa kama taifa?
 
Hivyo vyote unavyotaja sijui mito, maziwa nk viko hata enzi za Nyerere, na Nyerere hakuwa mwizi, mbona bado tulivaa hadi viraka?
Na hapo ndio ujuwe kwamba Magufuli alikuwa of the next level!
 
Back
Top Bottom