Mtaani kwenu kuna Tahadhari dhidi ya CoronaViruses?

Kusema ukweli kabisa kutoka moyoni, sijawahi kuona msiba mtaani kwangu tena ni Mwananyamala uswazi kabsaaaa. Hata mimi naona mauzauza tu. Wanakufa viongozi. Nadhani serikali ingechunguza. Yaweza kuwa kuna kitu hakiko sawa mahali. Sabotage inaweza kuwa iko kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepima ukakutwa negative?? Bro tunatembea na virusi kwa sababu ya uimara wa kinga za miili yetu.. ushauri wangu jitahidi sana kuwakinga wazee wako na watu wako wa karibu wenye afya dhaifu .. .corona ipo.na ni hatari kweli kweli.. ikipata upenyo tu huchomoki
 
Tanzania kila kitu hewa, Corona hewa, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa,

Corona imebakia jina Tu Tanzania, Huku kwetu kila ninayekutana naye, anaulizia tu, hivi wamefika wangapi? Sasa endapo kila mtu atakuwa anauliza wamefika wangapi, unagundua kabisa hii Corona haipo, kama ingelikuwepo, basi hata hao wanaouliza watu kufika wangapi wangekuwa nao wanaugulia!

Corona hewa
 
Corona haipo,mwambieni basi yule mzee aliyejificha kule kijijini arudi huku town aendelee kuchapa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…