Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaani gani?Nnaowajua wameshaugua ni 6, wa3 wameshapona wengine bado, waliokufa wa4
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi wamekufa ndugu na jamaa 5 ,nina watu kama 4 bado wanaumwa.Mimi niko sector ya afya na hao watu 50 percent niwafanyakazi wa hospitaliNdugu zako wamekufa wangapi au jirani zako
Mkuu, Corona ipo yamkini, Mimi nimezungumzia huku kwetu, sjaona na nimesema nistake kuona kabisa Kwa sababu jinsi ninavyoona huko Kwa wenzetu, inatisha na pengine hata hapa hizi ID zetu nyingine zingekuwa hazichangii chochote hapa, sababu watu wenye ID hizo wangekuwa washakufa ama wako ICUkwahiyo wale 16 walikufa kwa njaa au nyege,punguzeni mihemko kwenye mazungumzo😎😎😎
Tatizo ni ngum sana kuthibitisha kwamba marehemu kafa kwa korona pia yapo magonjwa uhua Mara mojaMtaa unaoishi halo ilivyo ipoje? Mtaani kwetu unaweza kujua hakuna ugonjwa huu kabisa.
Karibia kila kitu kinaendelea kama hamna kitu, watu wanaishi maisha yao bila wasiwasi (mikusanyiko na vijiwe) kilichobadirika ni ndoo za maji mtaani ambazo hazitumiwi.
Watu wanaishi maisha yao na kata yetu yote sijasikia mtu kafa kwa Corono au kahisiwa. Ila ukiingia mitandaoni jinsi wanavyoeleza hali ni tofauti na uhalisia.
Unaweza kudhani watu wanakufa sana au wako hoi sana mitaani.
Je hali ya mtaani kwenu ipo vipi.?
Jibu Swali.Hapo mtaani kwenu wamekufa wangapi?.we waache, huu ugonjwa ni hatari, unamaliza familia nzima ukiingia, labda wanakaa vijijini
Whether iko mtaani kwetu au la sio issue ,issue ni kujikinga na ugonjwa unaweza ikawa wewe ukawa chanzo cha kuleta mtaani.Mtaani kwenu inawezekana mna population ya watu 2000 na kwa sasa kama maambukizi Dar ni watu 120 kwenye population ya 6m ya wana Dar ni kidogo ila kwa sababu hatufanyi mass testing kuna watu wana maambukizi ila hawaumwi na wengine hawataonyesha dalili hata kidogo
Duh!Ugonjwa fake kivipi? Huku kwetu watu tisa teyari na wengine wamefia kwenye magari.
Sent using Samsung A50
Wewe lumumba hata wakifa mia mtaani kwenu wala hutatangaza.
Sent using Samsung A50
Itakuwa bungeni huko.Ugonjwa fake kivipi? Huku kwetu watu tisa teyari na wengine wamefia kwenye magari.
Sent using Samsung A50