Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Endelea kuamini hivyo hivyo 🙄Tanzania kila kitu hewa, Corona hewa, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa,
Corona imebakia jina Tu Tanzania, Huku kwetu kila ninayekutana naye, anaulizia tu, hivi wamefika wangapi? Sasa endapo kila mtu atakuwa anauliza wamefika wangapi, unagundua kabisa hii Corona haipo, kama ingelikuwepo, basi hata hao wanaouliza watu kufika wangapi wangekuwa nao wanaugulia!
Corona hewa