Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Endelea kuamini hivyo hivyo 🙄Tanzania kila kitu hewa, Corona hewa, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa,
Corona imebakia jina Tu Tanzania, Huku kwetu kila ninayekutana naye, anaulizia tu, hivi wamefika wangapi? Sasa endapo kila mtu atakuwa anauliza wamefika wangapi, unagundua kabisa hii Corona haipo, kama ingelikuwepo, basi hata hao wanaouliza watu kufika wangapi wangekuwa nao wanaugulia!
Corona hewa
Hesabu hii haiingii akiliniNnaowajua wameshaugua ni 6, wa3 wameshapona wengine bado, waliokufa wa4
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwananyamala ipi unaishi, nko biashara complex hapa ...Hali n shwari kabisaKusema ukweli kabisa kutoka moyoni, sijawahi kuona msiba mtaani kwangu tena ni Mwananyamala uswazi kabsaaaa. Hata mimi naona mauzauza tu. Wanakufa viongozi. Nadhani serikali ingechunguza. Yaweza kuwa kuna kitu hakiko sawa mahali. Sabotage inaweza kuwa iko kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukosa ndugu au jirani aliekufa kwa corona haimaanishi ugonjwa haupo, je mimi niseme ukimwi haupo kwa kua sijazika ndugu mwenye ukimwiNdugu zako wamekufa wangapi au jirani zako
Eti hasa jamiiforumsNasikia corona mtandaoni hasa jamii forum hali uku ni shwari maisha ya kawaida kabisa