Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
-
- #21
Hii kisungura na chang'aa ipi kali?
Hapa kimara wanakiita ukawa.
🤣🤣🤣Ukipita Mbezi Mwisho,Buguruni na Mbagala Rangi 3 vijana wabugia kama ngamia kapata maji baada ya kuvuka Kalahari Desert
Huku kwetu Uswis wanaiita kamatia chini.
Naaaam🔥🔥Iyo kitu ni zaid ya Katiba mpyaa
Nimecheka kinoma.Hilo neno la mwisho sasa....ahahhahhha
Chang'aa naona ni 34% alcl na wanachanganya na jet fuel and embalming fluid to speed up fermentaion process which cause blind.Chang'aa inasubiri sana
Haina maajabu kabisa.