Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

Hao wa marketing wa hiyo kampuni bosi awapatie mkataba wa kudum kabisa,haka kasungura kamefika kila kona ya hii Tanzania
 
Ngoja hii nayo iinwe
JamiiForums-386821917.jpg
 
Ulinzi shirikishi wanaficha ficha kwa kuiita Booster Mara Putin 🤣
 
Back
Top Bottom