gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,312
- 3,345
Aliekwambia hotel ya naura imefilisika kwasababu hizo ni nani?Zipo hotel nyingi zimekufa na nyingine kugeuzwa hostel za wanafunzi au mnajifanya mmesahahu?Hotel zimeyumba sana utawala huu Kabla hata korona kuingia.Raisi alisema shughuli za serikali zitaendelea kama kawaida , Ila chukueni tahadhari mmoja mmoja , mkuu hakuna aliyeshurutishwa aende kwenye huo mkutano , swali la kujiuliza unaendaje kwenye mkutano huku ukijua kuna Korona ?? Kaa nyumbani , jipige rockdown, tumia sanitizer , vaa barakoa , ..uhai wako huwezi kumbebesha mtu mwingine ...
Kama unahitaji chanjo nenda ulaya kapigwe chanjo urudi .....!! Mwaka jana serikali ilisisitiza hayo unayoyataka ni nini tulifaidika? Zaidi ilileta taabu ya kiuchumi mpak hotel za Naura Arusha kudorora na sasa inabid ziuzwe kufidishia madeni Kwa wafanyakazi ....ugonjwa hauna dawa , kila mtu ni roho mkononi around the globe...
Uzuri wa corona haichagui huyu raisi na yule ni waziri tofauti hawa wakiugua wanapata huduma za juu kuliko sisi kajamba nani.
Mi nakumbusha tu huwenda hujui ila mkuu anatembea na kifaa mwilini ili aishi na corona ni hatari kwa wenye afya za mgogoro.