Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Sasa tuanzie hapo hapo!Sawa tu! Na ujerumani wanakufa,na waingereza wanakufa,na wachina WALIKUFA!! Kwa hiyo hiyo inahalalisha na sisi tulazimishe watu wetu wafe? Maana tunapowaambia kuwa hakuna tatizo,huku tukijua na kuona kabisa kuwa tatizo lipo ni kama tunawasukumia makaburini kwa lazima,hebu fikiria,kwa vile una mamlaka unawaamuru watu wavue barakoa zao kwenye mkusanyiko,si kuwaua kwa lazima?
Tokea huo mkutano ufanyike leo ni siku ya ngapi au mwezi wa ngapi?
Wangapi wamekufa?
¤tokea mheshimiwa atangaze hakuna corona tz huu ni mwezi wa ngapi?
#Tatizo limetuathiri kwa namna gani?
Kuna mambo mengine sio lazima mpaka utumie akili kubwa sana.