Kwa hiyo uzee siku hizi unaanzia 40?!
Anyways, vijana wadogo wa 20years hadi 30 wananiita dogo! Kwasababu naonekana mdogo, wao wamezeeka[emoji1].
Watu wakiambiwa lifestyle inachangia afya yako ya akili na mwili pia, wanasema mbona babu zao walikunywa sana pombe hadi wanafikisha 80/90years. Tambueni kuwa pombe nyingi almost 60% ni pombe fake na serikali inajua.
Acheni kula kula hovyo, go back to Eden!