Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

Escotter20

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
505
Reaction score
960
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,

Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
  • Simba
  • Mamelody
  • Esperance
  • Tp mazembe
Je, atafanikiwa.
 
Siamini sana katika Tabiri.

Naamini sana kwenye Muda.

Muda ni msema kweli Daima na anahukumu kwa Haki yote bila upendeleo.

Wakati utafika tutajua mbivu na Mbichi.

Kwa status Ya kikosi , Uwekezaji, na Uongozi uliopo simba ni ngumu sana kutoboa , kikosi ni dhaifu Mno.

MLETA MADA KUWEKA HABARI YAKO IWE VALID UNGEWEKA SORCE YA HABARI YAKO.

OTHERWISE LONG LIFE JAMII FORUM.
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,

Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
  • Simba
  • Mamelody
  • Esperance
  • Tp mazembe

Je atafanikiwa.
Insha-Allah...
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo...
Nawashangaa watu wanaoshangaa Simba kufungwa goli 1 na Al ahly na kusahau kuwa Simba hiyo hiyo ilifungwa goli 2 na Prison ya huko Mbeya ambayo Al ahly hawaijui.
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo...
So desperate mpaka mnafoji watabiri. The only reference kwenye Google ya huyo mtabiri wako ni jamiiforums ambayo inaonyesha imekuwa posted masaa mawili yaliyopita -ndiyo hiyo post yako. Pathetic.
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo...

Timu alizozitaja zote mtabiri. Ni 1 tu ndio inaweza ikafuzu. Ambayo ni esperence
 
Back
Top Bottom