Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

shakuwa yeye bali wasiwasi wa kuweweseka na vita ya webnyewe kwa wenyewe.
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,

Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
  • Simba
  • Mamelody
  • Esperance
  • Tp mazembe

Je atafanikiwa.
Ametabiri kinyume nyume.
 
Hatutaki utabiri wa nguvu za Giza! Ukweli ni kwamba Simba itasonga mbele
Siamini sana katika Tabiri.

Naamini sana kwenye Muda.
Muda ni msema kweli Daima na anahukumu kwa Haki yote bila upendeleo.

Wakati utafika tutajua mbivu na Mbichi.

Kwa status Ya kikosi , Uwekezaji, na Uongozi uliopo simba ni ngumu sana kutoboa , kikosi ni dhaifu Mno.

MLETA MADA KUWEKA HABARI YAKO IWE VALID UNGEWEKA SORCE YA HABARI YAKO.

OTHERWISE LONG LIFE JAMII FORUM.
Watabiri mshindwe Kwa Jina la Yesu! Simba itashinda si Kwa sababu ya watabiri Bali Kwa sababu tunamwomba Mungu ishinde! Utukufu uende Kwa Mungu na si Kwa watabiri!! Ee Mungu nakuomba mara hii Simba iende nusu fainali Kwa kuifunga al ahly, naomba Kwa Jina la Yesu ma watu wote semeni amen!! Kumbukeni kumpa Mungu utukufu baada ya ushindi na si vinginevyo!
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,

Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
  • Simba
  • Mamelody
  • Esperance
  • Tp mazembe

Je atafanikiwa.
Timu 3 zote zishinde ugenini
 
Hatutaki utabiri wa nguvu za Giza! Ukweli ni kwamba Simba itasonga mbele

Watabiri mshindwe Kwa Jina la Yesu! Simba itashinda si Kwa sababu ya watabiri Bali Kwa sababu tunamwomba Mungu ishinde! Utukufu uende Kwa Mungu na si Kwa watabiri!! Ee Mungu nakuomba mara hii Simba iende nusu fainali Kwa kuifunga al ahly, naomba Kwa Jina la Yesu ma watu wote semeni amen!! Kumbukeni kumpa Mungu utukufu baada ya ushindi na si vinginevyo!
Watabiri hawapangi matokeo
 
Back
Top Bottom