Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

Kama kuna mfanano na alichoandika huyu.
Tusubiri tuone.
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,

Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
  • Simba
  • Mamelody
  • Esperance
  • Tp mazembe

Je atafanikiwa.
Amewahi kutabiri mechi gani na matokeo yakaja kama alivyo tabiri
 
Haraka haraka naona kma kaongea kinyume chake.
Ila nijuavyo mimi.
Asec na petro watavuka, hawa wengine tuzidishe dua, yanga ana nafasi kubwa kuliko mnyama, natamani mnyama apindue meza lakini sina imani na chama langu, lqbda mwalimu abadili fikra apange kikosi imara sio saidoo namba 9,ikiwezekana akae benchi kabisa.
 
Utabili...Utabiri ...
Yaani mtu akiandika hivi namuona kama mtoto au....
 
Haraka haraka naona kma kaongea kinyume chake.
Ila nijuavyo mimi.
Asec na petro watavuka, hawa wengine tuzidishe dua, yanga ana nafasi kubwa kuliko mnyama, natamani mnyama apindue meza lakini sina imani na chama langu, lqbda mwalimu abadili fikra apange kikosi imara sio saidoo namba 9,ikiwezekana akae benchi kabisa.
TP Mazembe usiwachukulie poa ayseee... wako vizuri sana labda mpira tu udunde.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,

Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
  • Simba
  • Mamelody
  • Esperance
  • Tp mazembe

Je atafanikiwa.
Weka link ya chanzo chako cha habari. Maana kinyume na hado ni kujiyekenya wenyewe na kisha kucheka wenyewe
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,

Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
  • Simba
  • Mamelody
  • Esperance
  • Tp mazembe

Je atafanikiwa.
IMG-20240404-WA0013.jpg
 
Huyu mtabiri tambi tambi amewahi kutabiri kipi cha maana?
 
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league

Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,

Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
  • Simba
  • Mamelody
  • Esperance
  • Tp mazembe

Je atafanikiwa.
Now you talk
 
Haraka haraka naona kma kaongea kinyume chake.
Ila nijuavyo mimi.
Asec na petro watavuka, hawa wengine tuzidishe dua, yanga ana nafasi kubwa kuliko mnyama, natamani mnyama apindue meza lakini sina imani na chama langu, lqbda mwalimu abadili fikra apange kikosi imara sio saidoo namba 9,ikiwezekana akae benchi kabisa.
Kikosi imara cha kina nani?
 
Back
Top Bottom