Escotter20
JF-Expert Member
- Jul 20, 2020
- 505
- 960
Insha-Allah...Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league
Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,
Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
- Simba
- Mamelody
- Esperance
- Tp mazembe
Je atafanikiwa.
Nawashangaa watu wanaoshangaa Simba kufungwa goli 1 na Al ahly na kusahau kuwa Simba hiyo hiyo ilifungwa goli 2 na Prison ya huko Mbeya ambayo Al ahly hawaijui.Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league
Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo...
So desperate mpaka mnafoji watabiri. The only reference kwenye Google ya huyo mtabiri wako ni jamiiforums ambayo inaonyesha imekuwa posted masaa mawili yaliyopita -ndiyo hiyo post yako. Pathetic.Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league
Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo...
Mimi ni Simba na siamini kwenye tabiri. Mpira ni uwanjani tu!!Uto watapinga utabiri
ule ule uliomfikisha robo fainaliKwa uwongozi upi wa kimpira Simba icheze nusu fainali?
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league
Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo...