Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Jamani hebu otea mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja..ngoja Wewee mmmm ngoja mnnh wewe mfupii kama tausi wa bongo movie Afu una tege la hatari na kamsambwanda mbinuko fulani hivi😅😅😅unaongea noma km umemeza memory card Afu kingineee...... enheee nilitaka kusahau ni mweusi tiiiii kama umetoka kwenye pipa la lami😅😅😅😅😅haya nitumie ya vocha mana sio kwa kukupatia huku[natania jamani ulivyo mremboo]
 
ngoja..ngoja Wewee mmmm ngoja mnnh wewe mfupii kama tausi wa bongo movie Afu una tege la hatari na kamsambwanda mbinuko fulani hivi[emoji28][emoji28][emoji28]unaongea noma km umemeza memory card Afu kingineee...... enheee nilitaka kusahau ni mweusi tiiiii kama umetoka kwenye pipa la lami[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]haya nitumie ya vocha mana sio kwa kukupatia huku[natania jamani ulivyo mremboo]
Umepatia kimoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom