Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Da'Vinci
-huyu kija anamiaka 20-21 mpole hapendi shobo genius mkimya sana anaibu machoni pawatu sio MTU, wakujichanyanya, (starehe)
-kazi--bado hustle elimu yake form(4)
-mchamungu, anapenda kujifuza (mdadisi wa mambo) single wawakati wore 😂joke n.k

Da'Vinci embu thibitisha

- Mshana Jr huyu age yake 45-55 ana hekima sana mjuzi wa mambo mengi
-anaye kitambi mchuzi yanii anakaafya Fulani hivi, anakaribia kustaafu (uzee unamnyemelea 😂) ameoa

- mtanashati huyu jamaa ni mbeambea Fulani hivi (silawadu) umri wake kama 21-25-> nasikia umbea unalipa 😂😂

- Behaviourist mzee wa chura huyu jamaa age yake ni 25-30 ni kicheche anapenda wanawake wake sana has a wenye maumbile makubwa (CHURA) Kuhonga sio shida 😂 namunganisha na Zero IQ nawengine wa aina yake (CHAMA CHA MABACHELAA TZ)


- Shunie mrembo huyu wa jf anonekana yupo smart kichwani hadi mwilini sio mnene wala mwembamba ni mweupe fulani hivi amaizing ameajiriwa
- anaye bwana (DANGA) wa maana mwenye mshiko


ANAYEPINGANA NA MIMI ASEMA AU AJE GHETTO TUPIGANE 😂😂😂
 
Back
Top Bottom