lovelovelove
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 270
- 270
π’π’π’π’π’π’π’
Nipo hapa....[emoji121][emoji13][emoji13][emoji13]hamna kazi, ngoja nisome comments lazima watakuwepo[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niwe napitia comments kuangalia watakaofaa kuwa wachumba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Muwe mnaandika kama ni weusi au weupe[emoji12][emoji12][emoji12]mnirahisishie kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio kweli mkuu....
Huyu Mwifwa hajafika hata 30's
Na nikama anajihusisha na mambo ya afya.
Ni kijana mwenye tabia ya kusikiliza sana kwa umakini.
Anatabia ya ukali, ingawa ni mtulivu sana.
Hapendi kuongea sana, zaidi anapenda kutabasamu mara nyingi.
We mama wakati mwingine unaongeaga kinyume kinyume!
Ndugu mjumbe, yule mtoto sijawahi kupata hata uelekeo wake tangu pale mwaka ulipo anzia...[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hujawahi kuniangusha mh mjumbe.
Naomba nikuzawadie yule mtoto wa Area D ukajipoze kwanza
Ndugu mjumbe, yule mtoto sijawahi kupata hata uelekeo wake tangu pale mwaka ulipo anzia...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yupo bana mh mjumbe amejituliza sehemu salama kabisa huko karibu na ulipoNdugu mjumbe, yule mtoto sijawahi kupata hata uelekeo wake tangu pale mwaka ulipo anzia...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndio anapatikana jukwaa gani huyo kwani....!!??[emoji45] [emoji45]Mkuu wa kazi wawezq kumcheki Madame B, ukague zigo pia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namtania anajuaSio kweli mkuu....
Huyu Mwifwa hajafika hata 30's
Na nikama anajihusisha na mambo ya afya.
Ni kijana mwenye tabia ya kusikiliza sana kwa umakini.
Anatabia ya ukali, ingawa ni mtulivu sana.
Hapendi kuongea sana, zaidi anapenda kutabasamu mara nyingi.
Ndio anapatikana jukwaa gani huyo kwani....!!??[emoji45] [emoji45]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Namtania anajua
Ukipita mitaa ile usiache kunipa lift na ile ist yako[emoji23][emoji23][emoji23]kwani ile ya siku ile ulikua unaendesha ya nani
Humu jf basi itakua ni ww tu unaazima maana wote humu tuna magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namimi pia hivyo tupo wawili. Sio uwatangazie lakini wakanicheka.[emoji23][emoji23][emoji23]kwani ile ya siku ile ulikua unaendesha ya nani
Humu jf basi itakua ni ww tu unaazima maana wote humu tuna magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]