Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Sio kweli mkuu....
Huyu Mwifwa hajafika hata 30's
Na nikama anajihusisha na mambo ya afya.
Ni kijana mwenye tabia ya kusikiliza sana kwa umakini.
Anatabia ya ukali, ingawa ni mtulivu sana.
Hapendi kuongea sana, zaidi anapenda kutabasamu mara nyingi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hujawahi kuniangusha mh mjumbe.

Naomba nikuzawadie yule mtoto wa Area D ukajipoze kwanza
 
Ndugu mjumbe, yule mtoto sijawahi kupata hata uelekeo wake tangu pale mwaka ulipo anzia...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Yupo bana mh mjumbe amejituliza sehemu salama kabisa huko karibu na ulipo
 
Sio kweli mkuu....
Huyu Mwifwa hajafika hata 30's
Na nikama anajihusisha na mambo ya afya.
Ni kijana mwenye tabia ya kusikiliza sana kwa umakini.
Anatabia ya ukali, ingawa ni mtulivu sana.
Hapendi kuongea sana, zaidi anapenda kutabasamu mara nyingi.
Namtania anajua
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani ile ya siku ile ulikua unaendesha ya nani

Humu jf basi itakua ni ww tu unaazima maana wote humu tuna magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipita mitaa ile usiache kunipa lift na ile ist yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani ile ya siku ile ulikua unaendesha ya nani

Humu jf basi itakua ni ww tu unaazima maana wote humu tuna magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namimi pia hivyo tupo wawili. Sio uwatangazie lakini wakanicheka.
 
PROFESSOR huyu ana miaka kati ya 27-30 handsome si mwembamba wala mnene na ni mrefu pia. Ni mwajiriwa pia mfanyabiashara mwenye mishemishe zake kitaa, mwongeaji kiasi ila ni mbishi kupindukia. Ni mpole lakini ana hasira sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom