Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mpaka nimeshangaa. Unapata wapi ujasiri huu??Naendesha ubaguzi wa rangi [emoji119][emoji119][emoji119].
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jamani hiyo avata yako lol[emoji119][emoji119][emoji119] hata kama nipo kama mdoli wewe umezidi[emoji13][emoji13].
Basi ngoja nikutafutie shombe awe kama mimi au wa kisomali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutuuuuuu.Hata waliocoment hawajui watu wanahisia tuu kutokana na michango yao .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana jamani. Kama nalipiza vile.[emoji13][emoji13]Mpaka nimeshangaa. Unapata wapi ujasiri huu??
Aaaaaa kumbeee. Basi sawa!Hapana jamani. Kama nalipiza vile.[emoji13][emoji13]
Nimewahi kutendwa kisa rangi. [emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ulivyo mzuri sasa ukichanganya hapo mtazaa malaika. Ngoja nikutafutie kwa kweli uliwakilishe taifa vyema.Haah. Nitueee..awe km ww..nipate mixd race msukuma mie niliwakilishe taifa vyemaa
I see
Na ulivyo mzuri sasa ukichanganya hapo mtazaa malaika. Ngoja nikutafutie kwa kweli uliwakilishe taifa vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanifahamu?? You hit a point..Da'Vinci
-huyu kija anamiaka 20-21 mpole hapendi shobo genius mkimya sana anaibu machoni pawatu sio MTU, wakujichanyanya, (starehe)
-kazi--bado hustle elimu yake form(4)
-mchamungu, anapenda kujifuza (mdadisi wa mambo) single wawakati wore 😂joke n.k
Da'Vinci embu thibitisha
- Mshana Jr huyu age yake 45-55 ana hekima sana mjuzi wa mambo mengi
-anaye kitambi mchuzi yanii anakaafya Fulani hivi, anakaribia kustaafu (uzee unamnyemelea 😂) ameoa
- mtanashati huyu jamaa ni mbeambea Fulani hivi (silawadu) umri wake kama 21-25-> nasikia umbea unalipa 😂😂
- Behaviourist mzee wa chura huyu jamaa age yake ni 25-30 ni kicheche anapenda wanawake wake sana has a wenye maumbile makubwa (CHURA) Kuhonga sio shida 😂 namunganisha na Zero IQ nawengine wa aina yake (CHAMA CHA MABACHELAA TZ)
- Shunie mrembo huyu wa jf anonekana yupo smart kichwani hadi mwilini sio mnene wala mwembamba ni mweupe fulani hivi amaizing ameajiriwa
- anaye bwana (DANGA) wa maana mwenye mshiko
ANAYEPINGANA NA MIMI ASEMA AU AJE GHETTO TUPIGANE 😂😂😂
Umeambiwa umtabirie, na kutabiri maana yake unasema sifa za mtu ambae humjuiSisi tusiomjua mtu humu tunacomment wapi??
Ndio siwajui sasa watu wa humu. Naanzaje kwa mfano???Umeambiwa umtabirie, na kutabiri maana yake unasema sifa za mtu ambae humjui
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh naona nimetwanga maji kwenye kiñu. Kwa heriNdio siwajui sasa watu wa humu. Naanzaje kwa mfano???
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Wee mbibi ebu niache huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mwifwa mtu mjanja mjanja sio mlevi kabisa,, hajaoa kabisa ila ana goma lake,, mtu flani mguu nje mguu ndani,,, pia ni kipenzi cha mabinti ila tatizo hapendi kuchunwa ,,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]