Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Tangu nitume picha sijapata PM hata moja ya mrembo, munaochafua hewa hapa sio poa kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We kizee nakuona umejaa kwenye uzi wa watu leo kama wako vilee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu nitume picha sijapata PM hata moja ya mrembo, munaochafua hewa hapa sio poa kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We kizee nakuona umejaa kwenye uzi wa watu leo kama wako vilee
Nisamehe jamaniSi ndo kama hivyo unakandia toroli langu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana kujipost kote..ulifikir watakushobokea docta wa mifugoTangu nitume picha sijapata PM hata moja ya mrembo, munaochafua hewa hapa sio poa kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni mtu mzima,msomi flsni hivi ambae kakaa nje miaka hiyo ya 70 huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kwa asilimia 10, umejitahid ingawa umecopy kwenye ule uzi..Ngoja na mm nibahatishe labda ntapata vocha una miaka 26+
Unaitwa D
Ulitendwa na mwalimu yuko mbeya
Una ndoto za kua tajiri
Nasubir vocha yangu[emoji12]
UmesamehewaNisamehe jamani
Mkuu hivi kumbe unaweza kutuma picha huko PM?? Hebu nielekeze kaka unatumaje??Tangu nitume picha sijapata PM hata moja ya mrembo, munaochafua hewa hapa sio poa kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sijacopy[emoji34]Upo sahihi kwa asilimia 10, umejitahid ingawa umecopy kwenye ule uzi..
Tafadhari niambie unatumia mtandao gani, ili Asubuh nikutumie vocha japo nusu ya ahadi.
Sio pm mbona katuma hapa jukwaaniMkuu hivi kumbe unaweza kutuma picha huko PM?? Hebu nielekeze kaka unatumaje??
Unatumia kinywaji gani??😂😂😂Umesamehewa
Baby, kumbe we kaben 10Umetisha dogo....
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kumbe?? Me ndio najua hivyo. Sasa nlitaka kushtuka.Sio pm mbona katuma hapa jukwaani
Hahahahahaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana kujipost kote..ulifikir watakushobokea docta wa mifugo
Amarulaa[emoji5]Unatumia kinywaji gani??[emoji23][emoji23][emoji23]
Taja mtandao unao tumia tafadhari..Sijacopy[emoji34]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mbabu me sihusiki na hizo kashfaHahahahahaaaa.
Ukome kabisa wewe, najua wewe ndio umesambaza uzushi huko kwenye PM zao.
Utanikumbuka wewe mbibi....
Sio PM mkuu ni hapa hapa jukwaaniMkuu hivi kumbe unaweza kutuma picha huko PM?? Hebu nielekeze kaka unatumaje??
Mwambie mhudumu akupe halafu ntumie bill harakaAmarulaa[emoji5]
Ttcl nyumbn kumenogaaTaja mtandao unao tumia tafadhari..
Wewe ni mtihumiwa namba moja, hauchomoki hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mbabu me sihusiki na hizo kashfa