Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Okey mkuu! Kutuma hapa najua huko PM ndio nlitaka unielekeze brooSio PM mkuu ni hapa hapa jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okey mkuu! Kutuma hapa najua huko PM ndio nlitaka unielekeze brooSio PM mkuu ni hapa hapa jukwaani
WoooiiiiioMwambie mhudumu akupe halafu ntumie bill haraka
Haya mkuu.Ttcl nyumbn kumenogaa
Akuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtu akipata hiyo asilimia 20 unatoa au nusu na nusu tayari imeisha?Haya mkuu.
[emoji34][emoji34][emoji34]Wewe ni mtihumiwa namba moja, hauchomoki hapa
Ngoja basi nimuombe kama vipi mkuuHuko PM Inna atakusaidia
MmmmhAkuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie mwanaume wa mkoani...
Huyo ni Cuzo tuu..
I can't unanimously my anonymity
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji34][emoji34][emoji34]
Sema serengeti girl wangu
Umempatia sana huyu mtani wangu Mshana Jr . Umesahai jambo moja tu... huyu jamaa ni mchawi na mwizi wa wake za watu.Mshana;Yuko above 44-48,alikuwa mwaajiriwa wa jeshi la Magereza na amaeacha akiwa na cheo cha juu kiasi,mzaliwa wa Upareni ,kwa sasa ni mjasiliamali wa kati na anafanya shughuli za ufugaji hasa wa kuku na nguruwe,yuko smart mzee wa kuchomekea na suti mara chachechache,ameoa na ana watoto 3 wa kwanza wa kike yuko kidato cha nne. Baada ya kazi upata moja mbili na uwahi nyumbani kujumuika na familia,hajawahi kukosa chakula cha usiku na familia yake anayoipenda sana akiwa maeneo ya home,ni baba wa mfano
Over
Hahahahahah,karibu bro nimekubamba!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina neno Serengeti boy wanguSema serengeti girl wangu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umempatia sana huyu mtani wangu Mshana Jr . Umesahai jambo moja tu... huyu jamaa ni mchawi na mwizi wa wake za watu.
Hahaaa unanifurahisha