Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

@BILGERT ni mtu ambaye anajipenda yeye kwanza, mwenye ndoto ya kuwa tajiri siku za mbeleni,, hatumii tecno,, wasichana kwake ni kama chombo cha starehe,, bado hajaoa,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umejitahid angalau kwa asilimia 10,isipo kuwa hapo kwenye kuwafanya wasichana chombo cha starehe.

Unatumia mtandao gani mkuu,ili kufikia asubuhi nikutimizie japo nusu ya ahadi.. maana hujafikisha asilimia 20
 
Ngoja na mm nibahatishe labda ntapata vocha una miaka 26+
Unaitwa D
Ulitendwa na mwalimu yuko mbeya
Una ndoto za kua tajiri

Nasubir vocha yangu[emoji12]
 
Back
Top Bottom