Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Nakuona mzee usiotaka kuzeeka
d65f31f20b215112606a32afea1fdcf5.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Haya malezi mema...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Niko napata dinner hapa karibuu.. mapigo ya kimkoani
39b07ce844e2c37fbc5fac21ad7f6587.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kwa mlo huo, nina mashaka kama utapata stuli....tehteehh [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwifwa ebu ukuje hapa unisaidie aiseeeeee.... maana naona kijana anajifunga mabomu ili akarejeshe heshima kwa mtaafu, yaani huyu tutampoteza veri suni [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mkuu hio nakula kama Snacks tu..
Stool ipo kama kawa! Tunajazia power of man pale zilipopungua...
Actually Dina hii hapa
e312d5a47deb171ce3a38d713e8129ce.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom