Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Wewe ni kijana umri kati ya 23-27
Ni mrefu kiasi, mwili umenyimwa
Ni mstaarabu fulani japo sio sana halafu watu wanakuogopa wanajua upo serious sana kumbe hamna kitu.
Unapenda kuvaa jeans, unajipenda na unanyoa kawaida yaani sio kipara, kiduku wala hufugi nywele.
Unapenda wanawake japo unajitahidi kujifanya huna habari nao.
Una uchumi wa kati sio kapuku na si kwamba una pesa nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah..umenipatia kwa asilimia 75..Zawadi gani nikupe??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 27 - 33
Uko bize na mambo yako japo una muda wa kukutana na marafiki mara moja moja kwaajili ya kuburudika na kubadilishana mawazo, huna marafiki wa karibu asilimia kubwa ya watu wako ni wale unaofanya nao kazi/ biashara.
Si mtu wa maneno mengi
Unajipenda kawaida, yaani haupo rafu ila sio wale wanaojipenda sana.
Si rahisi mtu kukujua we ni mtu wa aina gani maana mara nyingi sio mwepesi kuonyesha hisia
Karibu utabiri mkuu, naendelea kutoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa humu alikuja na swaga kwamba jini sijui kamfanya nini nini sijui...tehteehh mwisho wa simulizi watu wakamuonea huruma.... masi hakuchelewa kuchomekea na cd ya assist....tehteehh kweli jf ni kiboko wallah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmeona si mlisema ni gudume au
 
Yap mkuu.. ukiona hivo ujue ni mapgo kutoka Kwa wale viumbe wenye Chromosome 86 za ubishi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hapo ndio penyewe.

Umeuchanganya na mahindi kidogo?
 
Kuna jamaa humu alikuja na swaga kwamba jini sijui kamfanya nini nini sijui...tehteehh mwisho wa simulizi watu wakamuonea huruma.... masi hakuchelewa kuchomekea na cd ya assist....tehteehh kweli jf ni kiboko wallah
Ila mwanangu kuomba assist jf yahitaji roho ya paka kama Joram Kiango

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mwenye kuhitaji kuazimwa fursa hiyo....
ff7dd5887412388781b80c221e753b83.jpg
.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom