Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mwenye kuhitaji kuazimwa fursa hiyo....
ff7dd5887412388781b80c221e753b83.jpg
.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nimekiona Mtambo wa Mauti cha Kenya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmeona si mlisema ni gudume au
Hivi nani alisema kwamba ni GuDume [emoji15] [emoji15]
Ebu ngoja nikahakikishe kwanza aiseeeeee.... maana nisije nikalala mdomo wazi...tehteehh
 
Ila nyie watu wa jf mmeniweza , yani naacha kusoma madesa ili kesho nifanye test 2, badala yake nasoma comment zenu af nacheka mwenyew!!! Sio siri comment za humu Na mada zake kam breakfast, lunch and dinner

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma mkuu..usijeukarudi chuo mapema mwezi wa tisa wakati wenzako wapo likizo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nyie watu wa jf mmeniweza , yani naacha kusoma madesa ili kesho nifanye test 2, badala yake nasoma comment zenu af nacheka mwenyew!!! Sio siri comment za humu Na mada zake kam breakfast, lunch and dinner

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]kesho utajaza comment ulizozisoma humu
 
Nipitie nipo apa carnival namalizia bapa langu
Ohhhooooo....[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yaani unakata jibapa....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Naomba nikuachie tu yule ulie zowea kumliza.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we toka ndukiiii tu ...huniwezi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we toka ndukiiii tu ...huniwezi
Hata kama weni jini, misina duka la nguo bhana.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nitajie majina yake kwanza hivyo vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mpenzi..
Kuna
-mtambo wa mauti
Salamu toka kuzimu
-roho ya paka[emoji813]
-mikononi mwa nunda[emoji813]
~Dar es salaam usiku.
-najisikia kuua tena
--Mikataba ya kishetani[emoji813]
-Daima nitaheshimu polisi.
Hivyo ndio vitabu nilivyonavyo vyenye alama [emoji813] ndio nimevimaliza kuvisoma.
Pia nina Compilation ya gazeti la mwaka 96 lenye hadithi ya Tutarudi na roho zetu?? Zote by Ben

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
mkuu Mimi je?? utabiri please
Kwa haraka haraka wewe elimu yako ni kati ya darasa la saba mpska form four.

Lakini pia umri ni kati ya 22 -28,ni mtu huna future na maisha yako,hujawahi kuwaza kuoa kwa sababu bado unakula ujana.

Unapenda kufunga nywelee some times unapiga viduku,unapenda kuvaa jeans na laba kali ksli ambazo unajiksmus kweli kweli kununua,alafu unajifanya bishoo wa mjini.

Unachelewa sana kulala,unapenda sana mziki na viwanja,unakunywa kimtindo lakini mara nyingi hununui wewe.

Unakofia(kepu)bila shaka alafu kama nakuona na zile iafoni kubwa zinszokatisha kichwa.

Niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom