Da'Vinci
-huyu kija anamiaka 20-21 mpole hapendi shobo genius mkimya sana anaibu machoni pawatu sio MTU, wakujichanyanya, (starehe)
-kazi--bado hustle elimu yake form(4)
-mchamungu, anapenda kujifuza (mdadisi wa mambo) single wawakati wore [emoji23]joke n.k
Da'Vinci embu thibitisha
-
Mshana Jr huyu age yake 45-55 ana hekima sana mjuzi wa mambo mengi
-anaye kitambi mchuzi yanii anakaafya Fulani hivi, anakaribia kustaafu (uzee unamnyemelea [emoji23]) ameoa
-
mtanashati huyu jamaa ni mbeambea Fulani hivi (silawadu) umri wake kama 21-25-> nasikia umbea unalipa [emoji23][emoji23]
-
Behaviourist mzee wa chura huyu jamaa age yake ni 25-30 ni kicheche anapenda wanawake wake sana has a wenye maumbile makubwa (CHURA) Kuhonga sio shida [emoji23] namunganisha na
Zero IQ nawengine wa aina yake (CHAMA CHA MABACHELAA TZ)
-
Shunie mrembo huyu wa jf anonekana yupo smart kichwani hadi mwilini sio mnene wala mwembamba ni mweupe fulani hivi amaizing ameajiriwa
- anaye bwana (DANGA) wa maana mwenye mshiko
ANAYEPINGANA NA MIMI ASEMA AU AJE GHETTO TUPIGANE [emoji23][emoji23][emoji23]