BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Aisee, naomba uniambie mtandao unao tumia tafadhari..ili pakikucha tu nkutumie mgao wa vocha.Miaka 27 - 33
Uko bize na mambo yako japo una muda wa kukutana na marafiki mara moja moja kwaajili ya kuburudika na kubadilishana mawazo, huna marafiki wa karibu asilimia kubwa ya watu wako ni wale unaofanya nao kazi/ biashara.
Si mtu wa maneno mengi
Unajipenda kawaida, yaani haupo rafu ila sio wale wanaojipenda sana.
Si rahisi mtu kukujua we ni mtu wa aina gani maana mara nyingi sio mwepesi kuonyesha hisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Point uliyo hit zaidi ni hyo ya age.. though 27 natimiza mwezi wa 5