Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mshana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji123][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Dah 50/50 uko vizuri kiasi

Jr[emoji769]
 
FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.

Endeleeaaa
hahaha kwa FF nimecheka sana eti...anasuka mangongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mother Confessor ana miaka 26. Ni mwanadada amabaye ningependa kumjua. Ana miliki IST. Ana shape na sura Kama Shakira. Mother Confessor naomba nikirudi Tanzania nikutoe for a coffee. Najua jiji Dar joto πŸ˜ƒ.

-callmeGhost
Unarudi lini jijini..,??
Halafu sina hata baiskeli ya mbaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…