Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mshana
Mshana;Yuko above 44-48,alikuwa mwaajiriwa wa jeshi la Magereza na amaeacha akiwa na cheo cha juu kiasi,mzaliwa wa Upareni ,kwa sasa ni mjasiliamali wa kati na anafanya shughuli za ufugaji hasa wa kuku na nguruwe,yuko smart mzee wa kuchomekea na suti mara chachechache,ameoa na ana watoto 3 wa kwanza wa kike yuko kidato cha nne. Baada ya kazi upata moja mbili na uwahi nyumbani kujumuika na familia,hajawahi kukosa chakula cha usiku na familia yake anayoipenda sana akiwa maeneo ya home,ni baba wa mfano

Over
Hahahahahah,karibu bro nimekubamba!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahha mkuu naona ni kweli utabiri wangu wewe ni kibonge flani,umetoa colour tusione mvi ila kwa mbaali zipo nadhani.

Kumbe kweli unapenda mashati?

Kumbe ni kweli hupendi kufuga nywele kichwani mkuu?

Kumbe kweli ni muajiriwa mana nikitizama katika mewani yako naona magari mbele yamepaki kwenye kighorofa flsni hivi.

Ila yote haya ya kuleta picha kuna mtu kakufananisha na lemutuz ukaona ukane huo mfanano.

Inaonyesha wewe ni mtu mzima usiyezeeka mapema.

Tutajifunza kuishi kama wewe mkuu
Hishma kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji123][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Mshana;Yuko above 44-48,alikuwa mwaajiriwa wa jeshi la Magereza na amaeacha akiwa na cheo cha juu kiasi,mzaliwa wa Upareni ,kwa sasa ni mjasiliamali wa kati na anafanya shughuli za ufugaji hasa wa kuku na nguruwe,yuko smart mzee wa kuchomekea na suti mara chachechache,ameoa na ana watoto 3 wa kwanza wa kike yuko kidato cha nne. Baada ya kazi upata moja mbili na uwahi nyumbani kujumuika na familia,hajawahi kukosa chakula cha usiku na familia yake anayoipenda sana akiwa maeneo ya home,ni baba wa mfano

Over
Hahahahahah,karibu bro nimekubamba!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah 50/50 uko vizuri kiasi

Jr[emoji769]
 
Nipo jf kabla hujawa na smartphone.
Samahani mkurugenzi ila umekosea kidg nilikua Na smart yakiwango cha chini
%E2%80%AA%2B255%20625%20358%20598%E2%80%AC%2020190113_152218.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.

Endeleeaaa
hahaha kwa FF nimecheka sana eti...anasuka mangongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom