Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mshana jrMshana;Yuko above 44-48,alikuwa mwaajiriwa wa jeshi la Magereza na amaeacha akiwa na cheo cha juu kiasi,mzaliwa wa Upareni ,kwa sasa ni mjasiliamali wa kati na anafanya shughuli za ufugaji hasa wa kuku na nguruwe,yuko smart mzee wa kuchomekea na suti mara chachechache,ameoa na ana watoto 3 wa kwanza wa kike yuko kidato cha nne. Baada ya kazi upata moja mbili na uwahi nyumbani kujumuika na familia,hajawahi kukosa chakula cha usiku na familia yake anayoipenda sana akiwa maeneo ya home,ni baba wa mfano
Over
Hahahahahah,karibu bro nimekubamba!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
hadi Mimi hapo kwa bibi nimecheka sana hasa kwenye kusuka mangongo
We mama wakati mwingine unaongeaga kinyume kinyume!Kwangu nakupa 98%
Naanza
Madame B -huyu ni kati ya 28-35 mchakarikaji hapendi kuajiriwa ajiriwa,huyu suruali anavaa sana
Mzigua90 - huyu ni kati ya 25 - 29 huyu ni muajiriwa wa kampuni binafsi,anajipenda sana some times anatoka na baibui,some times kiujana zaidi
Miss Natafuta - huyu ni 28- 34 huyu atakuwa anapewa shavu na mwanaume flani na kadata kweli kweli na kampa mtaji bibiye na kujiajiri,huyu dada kwa mawigi balaa
Mwifwa - hili jembe ni kati ya 30 -35 na ni mtu wa ofisi sana anapenda kuchomekea na kuwa smart na suruali za vitambaa,hapendi nywele kubwa
chaliifrancisco - huyu ni kati ya 22 -26 ni mshkaji yupo kitaa anapiga madili ,ni mtu wa jeans sana na raba alafu anapenda kufuga nywele.
FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.
Endeleeaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo huru na mawazo yako kikatiba, una wasiwasi nayo?We mama wakati mwingine unaongeaga kinyume kinyume!
Mkuu ksma unatoka kusini lindi mtwara bila shaks unayajua mangongoFaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.
Endeleeaaa
hahaha kwa FF nimecheka sana eti...anasuka mangongo
Sent using Jamii Forums mobile app
bahati mbaya sijatoka hukoMkuu ksma unatoka kusini lindi mtwara bila shaks unayajua mangongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mama yangu mpendwaKwangu nakupa 98%
Sipo huru Mama nisije ambiwa nimetumwa na Mabeberu!Upo huru na mawazo yako kikatiba, una wasiwasi nayo?
Oya njoeni muone utabiri wangu kwa bwana mkibwa Mwifwa na mshanaKaribuni sanaView attachment 993368
Kwani mkuu unayajua mangongo?hadi Mimi hapo kwa bibi nimecheka sana hasa kwenye kusuka mangongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani matunguli bado yana nguvu mkuu, mbona chamdeko kashachomoka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu niache mpaka kesho nianze investigation-Mkuu embu jaribu kuotea Mimi "nafananaje ukipata nitakupa" (kazawadi kidogoo).
-Nakupunguzia Mimi ni "ME".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana Jr - huyu ni kati ya 55-65 kibonge hivi,anapenda mashati sana huyu jamaa,hapendi kufunga nywele huyu,ni muajiriwa falni hivi ambae anasubiri kwa hamu pensheni yake,sio mpinzani saana wa bwana mkubwaa,akitaka kumzungumzia mkuu anakuwa makini sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Namanisha marinda ya kwnye skirtMiss natafuta, ni danga na pia hana marinda